Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Akatafute sehemu nyingine nje ya Dar, zipo nyingi tu yapo mapori mamia kwa mamia.Mwamposa je
Nchi imejaa vichaa....hao Serengeti gaAkili zile zile za kulalamika kila kitu. Unautesa moyo na nafsi yako bila ya sababu. Hakuna timu Tanzania iliyoshawahi kufuzu kombe la dunia la aina yoyote lenye kutambuliwa na mamlaka za soka duniani.
Tangu mwaka 1961 ndio hao kinadada wanakuja kufuzu mwaka 2022 miaka 61 baadae halafu unasema rais hakuwa muhimu kuongea na hiyo team!!. Unaelewa maana ya kufuzu kombe la dunia?.
Punguza malalamiko yanakutesa wewe na maisha yako.
Wewe rais hata akitoka kwa Mungu moja kwa moja utaendelea kulialia na hakuna wa kukusaidia hata mmoja.
Nchi ina vichaa na wewe ukiwemo...unafurahia kufuzu na sio kombe. Labda hukunielewa au kwa kuwa unadhani akitajwa mkuu wa nchi tunakugusa,naiunga mkono Serengeti girls lakini siungi mkono wanasiasa kuwatumia hao watoto kisiasa.Akili zile zile za kulalamika kila kitu. Unautesa moyo na nafsi yako bila ya sababu. Hakuna timu Tanzania iliyoshawahi kufuzu kombe la dunia la aina yoyote lenye kutambuliwa na mamlaka za soka duniani.
Tangu mwaka 1961 ndio hao kinadada wanakuja kufuzu mwaka 2022 miaka 61 baadae halafu unasema rais hakuwa muhimu kuongea na hiyo team!!. Unaelewa maana ya kufuzu kombe la dunia?.
Punguza malalamiko yanakutesa wewe na maisha yako.
Wewe rais hata akitoka kwa Mungu moja kwa moja utaendelea kulialia na hakuna wa kukusaidia hata mmoj
Kichaa ni wewe mkuu, fanya umuone daktari mapema iwezekanavyo.Nchi imejaa vichaa....hao Serengeti ga
Nchi ina vichaa na wewe ukiwemo...unafurahia kufuzu na sio kombe. Labda hukunielewa au kwa kuwa unadhani akitajwa mkuu wa nchi tunakugusa,naiunga mkono Serengeti girls lakini siungi mkono wanasiasa kuwatumia hao watoto kisiasa.
Viongozi wafanye investment kubwa ili wanapofuzu tunajua kabisa hawa wamesaidiwa sio wakijipambania wakafuzu kila viongozi anawaita kuwapatia chakula.
Ndio yaleyale ya askofu gwajima kuwa nchi haina long na short term plans, Leo tutawafurahia lakini wakitoka huko yawezekana usiwasikie tena. This is absolutely wrong. Tunapoandika hapa msilete mahaba yenu na viongozi hao ni viongozi wetu pia. Hakukuwa na sababu maana yeye angekutana nao baada ya mashindano kuwapa hongera kwa hatua waliyoifikia.
Kiongozi hupata taarifa ya mwisho,zikiwemo na changamoto ili azitatue,so bora angeonana nao baada ya mashindano.
Asante kwa tahadhari,nikiri kuwa kama nimeonesha makasiriko then halikuwa lengo. Serengeti girls ni yetu nikubali kuwa sijaeleweka vizuri. Kazi iendelee mkuu.Kichaa ni wewe mkuu, fanya umuone daktari mapema iwezekanavyo.
Nchi kuwa na matatizo au wewe kuwa na shida haimaanishi kuwa hakuna watu wenye kufurahia maisha muda huu.
Ndio uendawazimu wenyewe huo, kudhani kuwa shida ni za wote, ni za kwako tu mkuu. Wenye akili hawasemi we have problems wanasema i have problems, matatizo ni ya kwako peke yako mkuu Kaka pembe.
Wewe unavyolia kuna watu wanaziona fursa muda huu na wanazitumia ipasavyo. Watu waliziona fursa wakati wa corona sembuse muda huu!!.
Usidhani kuwa huko Cameroon wanakofuzu kombe la dunia la wanaume kila mara kama hawana matatizo, yapo mengi tu lakini kila wanapopata nafasi ya kufuzu wanaifurahia. Kushangilia mpaka ushinde mechi moja huko ndio upunguani wenyewe kwani unashindwa kuelewa kuwa mpaka kufuzu wameweza kuwatoa washindani ambao ni timu za mataifa walizocheza nazo.
Makasiriko na masononeko yatakuuzesha mapema sana, kuwa mwangilifu sana.