Rais Samia ashiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mpango wa Block Farming, Dodoma - Machi 20, 2023

Wapi naumia? Humu ndio mnasema Dodoma Kuna ukame mkubwa, pia nchi imekumbwa na ukame

Mimi najaribu kukumbusha tu waliosema hivyo
Kwa akili zako nyingi,wote serikalini hawakuona Hilo mpaka kupeleka huo mradi dom!?
 
Kwa hiyo serikali ni wajinga sana Hadi wewe unayajua hayo si ndio?

Mzee hapo ni Mwanzo tuu Hadi ajenda 10/30 ifikiwe kule Bashe huku Samia mwezeshaji..

Hayo unayoyaongea Yako addressed zamani sana,kabla ya kilimo.umaanzisa Sokoni mzee
Nawe itabidi tukuzoee kuwa mtu wa mipasho tu, maana umeanza kujipambanua kwa maandishi yasiyo na uzito wowote.

Kwa mfano hapa umesaidia kitu gani kueleza aliyoibua huyo uliyemjibu kwa maandishi haya ya kimipasho tu!
 
Mtu mzima anayejitambua hawezi uliza maswali ya kitoto kama hayo,afuatilie hafla atapata majibu yote..
 
Wewe ungeyajua hayo majibu usingeandika hayo uliyoweka hapo kumjibu.
Kwa hiyo hata wewe hapo ulipo hujui chochote.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mpango wa Block Farming katika Programu ya Building Better Tomorrow (BBT) eneo la Chinangali, mkoani Dodoma leo tarehe 20 Machi, 2023.

Yaleyale tuliyoyaona Kilimo Kwanza, Big Results Now, Tanzania Beyond Tomorrow An Impossible Dream et al
 
Na ikishapita hatuulizani tena: hivi ilikuwaje?
Waliobahatika kuvuna msimu huo wao wanabaki na walichobahatika nacho; sisi wengine wote tunabaki tukisubiri kitu kingine kibuniwe na tushangilie, hata kama hatuambulii kitu.
 
🤣😆
 
Nawe itabidi tukuzoee kuwa mtu wa mipasho tu, maana umeanza kujipambanua kwa maandishi yasiyo na uzito wowote.

Kwa mfano hapa umesaidia kitu gani kueleza aliyoibua huyo uliyemjibu kwa maandishi haya ya kimipasho tu!
Huwa sipendi watu wa kutafuniwa Kila kitu.
plaatje.png
 
Na ikishapita hatuulizani tena: hivi ilikuwaje?
Waliobahatika kuvuna msimu huo wao wanabaki na walichobahatika nacho; sisi wengine wote tunabaki tukisubiri kitu kingine kibuniwe na tushangilie, hata kama hatuambulii kitu.
Usilinganishe failures wenu na Samia akili kubwa
 
Hii kitu inaweza kuwa Kilimo Kwanza nyingine, japo tofauti yake naiona kwenye utekelezaji wake, hii program naona imeenda hatua moja au mbili zaidi mbele;

- Nia imekuwepo [block farming zimeanzishwa] na

- Utekelezaji kivitendo unaonekana kuwepo [wahusika wameitwa kupatiwa mafunzo]

Tusubiri mwisho wake kama utakuwa na manufaa kiuchumi kwa vijana walengwa.
 
Huwa sipendi watu wa kutafuniwa Kila kitu.View attachment 2559440
Hapana.

Hili siyo swala la "kutafuniwa kila kitu", kama wewe upo jikoni au karibu na jiko, pakuwa tulio mbali tufaidike pia.

Sasa hapa umefanya vizuri kabisa, at least kwa kuanzia.

Ungemwekea huyo uliyemjibu mara ya kwanza kwa majibu yale yasiyoeleweka, si sote tungekushukuru sana?

Heshima hujengeka namna hiyo. Na hapa haikukuchukua muda kupata jibu sahihi.
 
Pinda ameweza kulima vizuri dodoma sasa vijana wakisaidiwa na serikali na mabenki washindwe kwanini?
Israel,China nawengine wameweza sisi kwanini tushindwe?
Kazi iendelee wanaopiga kelele niwajinga na hatuwezi kusumbuliwa na wazembe kadhaa
 
Hapana.

Hili siyo swala la "kutafuniwa kila kitu", kama wewe upo jikoni au karibu na jiko, pakuwa tulio mbali tufaidike pia.

Sasa hapa umefanya vizuri kabisa, at least kwa kuanzia.

Ungemwekea huyo uliyemjibu mara ya kwanza kwa majibu yale yasiyoeleweka, si sote tungekushukuru sana?

Heshima hujengeka namna hiyo. Na hapa haikukuchukua muda kupata jibu sahihi.
Soko jikoni,taarifa ziko kwenye sites mbalimbali za serikali..

Watu wanashindia kuongea umbea huko wanataka Kila kitu kujambiwa ndio maana Huwa ni rahisi kudanganya Watzn na kuwa brainwash,hawataki kutafuta vitu vya maana ila ujinga ujinga.
 
Usilinganishe failures wenu na Samia akili kubwa
Haya sasa!

Yale yale ya kipumbavu tu.

Wewe umesikia wapi mimi 'Kalamu' nikiwa na 'failure'?

Actually wewe ni mtu wa hovyo, kutokana na mengi unayoandika humu. Mfano mzuri ni ile mada uliyoanzisha ya SGR.
Kwa hiyo nadhani ni kukuacha tu ujihangaishe mwenyewe.
 
Soko jikoni,taarifa ziko kwenye sites mbalimbali za serikali..

Watu wanashindia kuongea umbea huko wanataka Kila kitu kujambiwa ndio maana Huwa ni rahisi kudanganya Watzn na kuwa brainwash,hawataki kutafuta vitu vya maana ila ujinga ujinga.
Niseme wazi, wewe huna tofauti yoyote na hao wengine unaowaita "wambea".
 
Back
Top Bottom