Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

Kama hujui anachotakiwa kufanya basi tuliza akili yako.

Maswali ya kitoto peleka kulee
Unataka kuleta ule ujinga wa kusema ajali wanyonge? Haitakiwi kumtenga yoyote, bali anawajibika kwa Kila mwananchi, hizo siasa za kitapeli sijui wanyonge pelekeeni walemavu wa akili.
 
Siku hizi naona Rais ana muda mwingi wa kutosha, kiasi cha kushiriki hata matukio madogo madogo!!
Hilo tukio ni kubwa sana! Na hasa ikifahamika kuwa Malasusa ni mtu wao tangu kitambo. Hivyo hakukuwa na namna nyingine kwa Rais. Lazima ahudhurie hilo tukio.
 
Unataka kuleta ule ujinga wa kusema ajali wanyonge? Haitakiwi kumtenga yoyote, bali anawajibika kwa Kila mwananchi, hizo siasa za kitapeli sijui wanyonge pelekeeni walemavu wa akili.
Kwani kudhibiti mfumuko ndo kujali wanyonge?

Ndo maana nasema mambo ya kitoto kasogoze na watoto wenzako. Hapa tupo watu wazima tunajadili mustakabali wa nchi
 
Siku hizi naona Rais ana muda mwingi wa kutosha, kiasi cha kushiriki hata matukio madogo madogo!!
Wewe unaona hili ni tukio dogo!? Kwa taarifa yako hili ni tukio kubwa kuliko hata kumuapisha rais wa nchi.
 
Asante sana Samia kwa kufika,

Nimefarijika mno.
 
Hujui mvua ni ishara ya baraka?

muislamu kuingia kanisani na kuswali is forbbiden lkn for power watafanya kila kitu ndiyo maana naamini siyo muislamu kwa maana ya halisi ya uislamu kwa maana kiislamu ni dhambi kubwa kuingia kanisani au sehemu yoyote ile ya kuabudu mbali na msikiti …
 
Back
Top Bottom