Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

Pongezi kwake kwa kuwa Mkuu wa Kanisa KKT.

Nipo nafuatilia ibada hiyo kupitia chanel za TBC, UTV, chanel ten.

Hakika anastahili kwani ni mtu aliye jaa hekima, busara, mwenye hofu ya Mungu na mwenye maono ya mbali.

Jambo la kipekee ni kushiriki kwa Mhe. RAIS Samia katika tukio hilo, hakika Rais Samia ni kiongozi wa kipekee sana mwenye kuheshimu Imani za waumini wengine, mwenye upendo wa hali ya juu.
Viongozi wwngine mnapaswa kuiga mfano wa Mhe. RAIS SAMIA.

Mungu amtqngulie katika majukumu yake.
Amen [emoji120]
 
Back
Top Bottom