Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda.


View: https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ===



Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Centre) nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
 
Itatusaidia nini sisi? sisi tunataka uhakika wa umeme, maji( kidogo mvua zimeanza), petrol, dola na nafuu ya kupanda kwa gharama za maisha.
 
Kwa nini huu mkutano usfanyike Arusha hapa Tanzania??
Na kwa nini ufanyike Arusha wakati hakuna wataalamu wa lobbying? Arusha ilikuwa zamani mkuu, Rwanda waliona fursa wakawekeza kwenye utalii wa mikutano na bado kuna mikutano mingi tu ya kimataifa iko kwenye ratiba mwaka huu na ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…