Rais Samia ashiriki sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Niwemugizi, aombwa kusamehe kodi hospitali za kanisa toka mwaka 2015

Mkuu ni hebu soma vizuri basi, amemtaja Bernard Mwoleka kama muasisi wa hiyo jumuiya, kwamba alikuwa rafiki wa Kalugendo na si jina la kwanza la Kalugendo kama ulivyomkosoa!
 
Hata Yesu alipokuja, hakuja kwaajili ya watu wema, alikaa na makahaba na watoza ushuru, ili wapate kutubu. Sioni logic ya kuwatenga hao watesa watu unadhani wataujuaje ukweli na kuokoka? Hapo ndipo mnapokosea
Nakubalina nawe kabisa!
 
Huyo askofu ni mpuuzi, angetoa angalau mfano mmoja tu unaoonyesha utukwazaji wa Mh Samia katika level ya Mwenyezi Mungu. Kwanza angejiangalia yeye mwenyewe anavyonyenyekewa na wafuasi wake, pumbavu kabisa
Wewe bado hujaelewa,bora tu ungejikalia kimya.Yeye hajasema kuwa kuna watu wanamfananisha na MUNGU bali kasema hivi "Asikubali kifananishwa na MUNGU".Elewa kiswahili Mzee mzima.
 
Sema unajuaga kunogesha genge. Yaan magu azaliwe 1959 niwemugizi azaliwe 1956 af unakuja kutuambia ni mtu na rector wake kweli? Tena akiwa form 4.
Japokuwa hakuna jina la mtu lilotajwa hapo kwenye comment yake, Tofauti ni miaka 3 kwani haiwezekani mkuu? Kwani haijawahi kutokea Tanzania mwanafunzi kumzidi umri mwalimu?
 
 
Jana anamwambia SSH asikubali kufananishwa na Mungu, nikamuona SSH anatikisa kichwa maneno yakiwa yamemuingia. Historia yote uliyoiandika anaijua na lazima atakuwa moyoni mwake anamuogopa Baba Askofu.
 
Ninachoweza kusema ni kwamba, Namuombea Baba Askofu Niwemugizi utume mwema. hayo mengine aachane nayo kwanza, kwa sababu akumbuke yeye ni mwenyekii wa kamati ya ukaguzi katika kanisa letu. Compliance bado ni shida kwa taasisi zetu nyingi.
 
Kanisa pia wanasamehe malipo kwa wananchi ?

Au wanawachaji accordingly ?, Kama wanatoa huduma basi na Kodi wasilipe ila kama ni vinginevyo basi mambo yaende accordingly...

Ingawa binafsi naamini katika huduma ya Afya kwa wote ambayo ni affordable....
 
Na wao wapunguze gharama za matibabu
 
Tofauti ni miaka 3 kwani haiwezekani mkuu? Kwani haijawahi kutokea Tanzania mwanafunzi kumzidi umri mwalimu?
Kwa kanisa katoliki haiwezekani, labda kule unakoweza pewa uchungaji bila kusomea.

Padri anasoma takribani miaka 10 baada ya elimu ya sekondari.
 
Hebu soma tena basi!!! Ni rafiki wa Kalugendo we jamaa vipi unakurupuka hivyo?? Jamaa kaeleza hivyo nami nikarudia kkufafanulia kuhusu huyo Bernard still unang'ang'ana tuu kuwa kakosea jina!!![emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hakuna mtu anayeitwa Bernard Mwoleka anayehusiana na Marehemu Padre Karugendo na Askofu Severini Niwemugizi, Labda ungesema Hayati Askofu Christopher Mwoleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…