Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Sasa Mshauri wake ndo yule Waziri Salum Rajab Alifeli la saba,elimu ya kuruani,wanaomshauri Samia wanataka wapate per Diem nyingi kama kadri watakavyoweza.Ndo maana wanawasiliana na mabalozi huko watafute functions ili Samia aende,Samia akienda na wao wameenda.Yaani rais unaenda kuhudhuria
Tamasha la wakata UNO sijui bongo fleva 😄
Hii dharau sana
Sema nchi imekuwa ya kisaanii sanii tu
Ova
Wako bize na kuhangaika na wasanii rais unajiweka mbeleeeKila saa ni muhimu sana kwa kiongozi wa Taifa.
Hayo masaa mawili angefanya tathmini ya nini kifanyike UDART iweze kuwa na ufanisi ili kero ya usafiri kwa watu wa Dar es salaam iweze kuisha.
Masaa mawili ya majadiliano yanaweza kabisa kuleta SULUHU ya muda mfupi kuondoa kero ya usafiri Dar es salaam huku tukitafuta nini cha kufanya.
mfano: Masaa mawili yangetoa maamuzi ya kuwapa kazi wenye uwezo wa kuleta coaster mayai hata 100 kila route kurescue situation kwa contract maalum ya miezi sita wakitumia Barabara ya mwendo kasi undersupervision ya UDART.
Kama yule mwingine mstaafu, jinsi anavyopenda show off na outing.Rais anapenda sherehe huyu.Ila maendeleo ni zero.Hana jipya.
Tolerance is not easy, but it’s infinitely better than hatred.Ww ni lichawa flani! ungekuwa karibu yangu ama ningekupiga fimbo za miti ya matakoni
au kibao cha puani kumbaf
Tolerance is not easy, but it’s infinitely better than hatred.Acha majinga.....waziri tena naibu waziri wa michezo angetosha
Na ufahamu Ila hakuuimba mbele ya mama SamiaUnaufahamu wimbo wa amelowa au?
Ama kweli we popoma.Wewe ndiyo HAMMAZO. Ulitaka Samia aanzishe miradi yake wakati Magufuli alianzisha miradi mingi na haikuwa imevuka hata 35%.
Kichwa chako kimejaa kamasi tu
Kwa cheo alicho nacho inatakikanika upimaji wa uzito wa matukio.Kwani hizo ziara yeye hafanyi? Kila Jambo na wakati wake, kwanza Kuna ubaya gani raisi wa nchi kuunga vijana wake mkono katika kazi zao. Uwepo wake katika tukio la namna hiyo ni Heshima kwa tasnia nzima ya muziki.
Kabisa mkuuHata hivyo kuongoza Tanzania sio kazi ngumu,tupo Kwenye Auto pilot mode..
Duh wanamuingiza kingiSasa Mshauri wake ndo yule Waziri Salum Rajab Alifeli la saba,elimu ya kuruani,wanaomshauri Samia wanataka wapate per Diem nyingi kama kadri watakavyoweza.Ndo maana wanawasiliana na mabalozi huko watafute functions ili Samia aende,Samia akienda na wao wameenda.
Wanaona ishu kubwa kwa watz ni kuselebukaKabisa mkuu
Kwa shida lukuki za watanzania, anapata muda wakuselebuka, kwani Ndumbaru atoshi?
Ni Rais gani unadhani hajawahi kujenga barabara? Mbona hii nchi ina wajinga kiasi hiki? Kwanza hizo za Magufuli hazimffikii hata KikwetteHayawani aliyejenga mabarabara. Ni×10 tutawaliwe na huyo
ATCL ina faida gani? Kwani kabla hajafufua ATCL tulikuwa hatupandi ndege?Alikukosea kwa kuanza kujenga game changer Stieggler zaidi ya 2000MW.
Alikukosea kwa kuifufua ATCL na kuwanunuli midege ambayo leo tunazurula nayo Tu angani makada wa chama.
Alikukosea kujenga SGR Dar-Moro- dom-Shy - Mwz.
Alikukosea kwa kujenga 6 x lane Dar to Kibaha.
Alikukosea kwa kujenga Daraja pale Busisi kuunganisha Mwanza, Geita to Bukoba Kwa urahisi.
Swali lakizushi akatikea msanii kutoa album kumsifia TAL na akaalikwa na viongozi wengine je watahudhuria? Au kuna wasanii wao na vijana wao wanaowasifia wao tu ndio huwakubali? Kama ni hivyo basi niubaguzi mkuu kabisa na hiyo album inatumika kama sehemu yakampeni kwa namna fulani which is very unfair kwenye ushindani kwa mgombea alieko madarakaniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City.
View: https://www.youtube.com/live/PafgRqkHmNo?si=oHJtx2WgTWFmEp9k
View attachment 2999425
ALICHOZUNGUMZA RAIS SAMIAAmemshukuru Msanii Harmonize kwa kumualika kwenye hafla hii aliyoiita 'Usiku wa kuutukuza muziki wa Mama'
Rais Samia ameoneshwa kufurahishwa na ukuaji wa Harmonize kwani alivyo sasa ni tofauti na alivyokuwa miaka 8 nyuma.
Amesema mapito ya kimahusiano aliyopitia Harmonize huwapata vijana wengi, na ametaja baadhi kama Ray Vanny, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz.
Amewapongeza wanawake wote waliolea na kukuza watoto hadi kuwafikisha kwenye mafanikio, wanawake na jeshi makini na jeshi imara.
Amesema amekuwa na kawaida ya kubeba wafanyabiashara kwenye ziara zake, sasa ataanza kwenda na wasanii ili kufungua zaidi nchi na kukuza tasnia hiyo.
Amewasaa wasanii wa muziki na filamu kuwekeza kwenye maisha yao kwani hawatafanya kazi hizo milele. Uwekezaji huo utawasaidia pindi watakapokuwa hawawezi tena kufanya kazi wanazofanya sasa.
Nafuu niwe popoma kuliko kuunga mambo ya kishamba ya kula mahindi barabarani? Nchi hii haitatawaliwa tena na mshamba kutoka KolomijeAma kweli we popoma.
Angalia ulichozungumza halafu fananisha na nilichokujibu.
Kama hata kuoanisha hujui hasara ya pesa za babaako alizokusomeshea.
Nakuacha ulitafakari hiliNafuu niwe popoma kuliko kuunga mambo ya kishamba ya kula mahindi barabarani? Nchi hii haitatawaliwa tena na mshamba kutoka Kolomije
View attachment 2999941