The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wewe ambae hupendi vitu vya nje na ambae una basics za uchumi umewekeza nini hadi sasa au ni kulaumu mtandaoni?Mwigulu anapenda sana vitu vya kununua kutoka nje. Siamini kama Mwigulu ana basics za Uchumi na Commerce.