Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Huyu anatakiwa apumzike ikifika 2025 la sivyo anaweza akapiga nchi mnada kama alivyosema mh Ndugai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anatakiwa apumzike ikifika 2025 la sivyo anaweza akapiga nchi mnada kama alivyosema mh Ndugai.
Dhalimu wako hayupo, mambo ni supa! Inakuwaje unataja utapeli kwenye selikali hii ya mama akiupiga mwingi?
Hujaona umeme mpaka mwanza..hujaoma sukari.Kwa hiyo Uganda wanaweza kutengeneza dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ila sisi hatuwezi.?
Kingine tujiulize kwanini Uganda ana ziada ya sukari kuuza nje ya nchi sisi tunashindwa nini?
R.I.P Magufuli sijui Azam ameishia wapa na mpango wake wa kuzalisha sukari nchini.
Mwisho naona mhitasari wa mazungumzo faida ni kwa Uganda tu, Sijaona Tanzania itakavyofaidika.
dada yako anaupiga mwingi mkubwa.Mbona kwa miaka mingi sana Tz tulikuwa tunazalisha ARVs?
Bado ninakumbuka sana lile skendo la bench fulani za ARVs feki la kile kiwanda cha Ramadhani Madavida na Mkewe (makada wa CCM) hapa Dar.
Tuliacha lini kuzalisha ARVs?
Kwanini tuliacha kuzalisha?
Kwanini tununue na tusizalishe wenyewe?
Kabla ya mkataba huu na Uganda, tulikuwa tunapata wapi ARVs?
Kwahiyo wakati wa Mwendazake sukari ilikuwepo nyingi!Kwa hiyo Uganda wanaweza kutengeneza dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ila sisi hatuwezi.?
Kingine tujiulize kwanini Uganda ana ziada ya sukari kuuza nje ya nchi sisi tunashindwa nini?
R.I.P Magufuli sijui Azam ameishia wapa na mpango wake wa kuzalisha sukari nchini.
Mwisho naona mhitasari wa mazungumzo faida ni kwa Uganda tu, Sijaona Tanzania itakavyofaidika.
Gesi, makaa ya mawe, mvuke, jotoardhi, upepo, hivi vyote kwa pamoja vinaweza kutupa 6000MW kwa uchache, mahitaji yetu kwasasa yanakaribia 1800MW.Umeme wa mkoa wa kagera unatoka Uganda lkn haimaanishi kuwa wao wanajitosheleza hapana, ukiwa kampala kukatka kwa umeme ni jambo la kila siku nafuu ya Dar.
KWA barua hii viroboto wote kimyaaa nchi tayr imepigwa na kitu kizito tyr
Kwamba rais kakurupuka,kafika huko katoa dola kumi kwa malori ya Uganda,hizo arv ni kaisi gani tutanunua!?..madabida alikua anazalisha arv hapa,mzalendo akamtia ndaniSisi kwa minajili hii tupo crippled mfano tunashida ya bei ya sukari na upungufu, pia hatuna capacity ya ARVs production au Uganda wanazo in excess kwa hip m7 kamuwin Samia, Pia Samia kawin partly market share ya Kenya kwa Uganda ametradeoff mileage prices or costs apate ongezeko la traffic ya Tanzania to Uganda, punguzo La mileage cost in return tunapata revenue unit kiasi gani, I think here M7 has cornered Samia kwa kumuwin kiakili kwenye negotiations, sidhani kama ilikuwa pre arranged hizo MoU, mhh...mhh..mhh...kula uliwe
Naona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.
Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?
Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Kwa nn serikali isije na mpango wa kusaidia uzalishaji wa sukari kuongezeka nchini?Kuna haja ya kuruhusu sukari Toka Zambia na Malawi , hasa kwa mkoa wa Mbeya na mikoa mingine ya mpakani kuongeza ushindani kwa viwanda vya ndani
Mkuu unasahau kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ni ripota tu? She is not analytical and never she will be. Lazima kama nchi kuna mahali tulikosea sana maana si kwa fimbo hizi.Naona hata taarifa ya Ikulu imekaa kimchongo mchongo sana.
Kwa mfano inasema tozo za usafirisha mizigo ya Uganda itapunguzwa mpaka kuwa dola 10, lakini haisemi hapo awali tozo ilikuwa ni kiasi gani?
Kitaaluma unapotoa ripoti ya ulinganifu (comparative analysis) ni lazima utamke pande zote mbili za figure/facts zinazozungumziwa ili kuwa proper reference analysis, unapotaja upande mmoja tu, unakuwa umesema nusu ya ukweli na kuficha nusu nyingine ya ukweli.
Daah!! Unaumri gani ndugu, huyu Mzee ndie aliyefanya Watu watembee uchi,na kama walivaa zilikuwa ni nguo za viraka.View attachment 2219553fufuka mzee wangu ushuhudie miujiza hii kutoka kwa watoto zetu Baganda
Kama sio Mwinyi kuja kurescue mambo,hali yetu Watanganyika ingekuwa mbaya sana.Daah!! Unaumri gani ndugu, huyu Mzee ndie aliyefanya Watu watembee uchi,na kama walivaa zilikuwa ni nguo za viraka.
Alikuwa hashauriki na Siasa yake aliyotoka nayo mwa Mao.
Sukuma gang nakuuliza, unaitaje utapeli wakati dhalimu wako hayuko madarakani na unapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?Unaongea utoto gani sukuma gang?
Daah!! Unaumri gani ndugu, huyu Mzee ndie aliyefanya Watu watembee uchi,na kama walivaa zilikuwa ni nguo za viraka.
Alikuwa hashauriki na Siasa yake aliyotoka nayo mwa Mao.
Tulikuwa na hali mbaya mbaya kweli kweli labda tumpe credit ya kugombania Uhuru tu.Kama sio Mwinyi kuja kurescue mambo,hali yetu Watanganyika ingekuwa mbaya sana.