Rais Samia ashuhudia utiaji wa saini wa hati ya ushirikiano nchini Uganda

Rais Samia ashuhudia utiaji wa saini wa hati ya ushirikiano nchini Uganda

Duh mbona mikataba yote anayenufaika ni uganda!!
Kwanza kapata soko la Arv zake, pili kapata soko la sukari yake, maana yake tunampelekea hela, na tatu tumempunguzia ushuru sasa atalipa kodi ndogo zaidi. Ukisikia kupigwa ndio huku.
Kwaiyo sisi hatuna tunachomuuzia uganda?
Tujisomee.
Aliyepata kapata!

View attachment 2219514
 
Naona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.

Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?

Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Ni kawaida yetu lakini.

Tunapigwa right left center kila mahali yaani na almost everyone.
 
Duh mbona mikataba yote anayenufaika ni uganda!!
Kwanza kapata soko la Arv zake, pili kapata soko la sukari yake, maana yake tunampelekea hela, na tatu tumempunguzia ushuru sasa atalipa kodi ndogo zaidi. Ukisikia kupigwa ndio huku.
Kwaiyo sisi hatuna tunachomuuzia uganda?
Aibu tunaubatizo wa uzoba zoba
 
Naona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.

Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?

Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Sisi kwa minajili hii tupo crippled mfano tunashida ya bei ya sukari na upungufu, pia hatuna capacity ya ARVs production au Uganda wanazo in excess kwa hip m7 kamuwin Samia, Pia Samia kawin partly market share ya Kenya kwa Uganda ametradeoff mileage prices or costs apate ongezeko la traffic ya Tanzania to Uganda, punguzo La mileage cost in return tunapata revenue unit kiasi gani, I think here M7 has cornered Samia kwa kumuwin kiakili kwenye negotiations, sidhani kama ilikuwa pre arranged hizo MoU, mhh...mhh..mhh...kula uliwe
 
Kama ana mipango mizuri aachane na masuala ya kuagiza vitu Kama sukari. Wezesha viwanda vya hapa, bakhresa kafungua kiwanda bagamoyo. Serikali inapaswa kumpa support 100% ili azalishe zaidi na zaidi na sisi tuuze huko nje
Sasa kama viwanda havikidhi mahitaji tufanyeje? tuache kuagiza huko nje?
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Zaidi ya miaka 7 tulikwama
 
Kwa hiyo Uganda wanaweza kutengeneza dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ila sisi hatuwezi.?

Kingine tujiulize kwanini Uganda ana ziada ya sukari kuuza nje ya nchi sisi tunashindwa nini?

R.I.P Magufuli sijui Azam ameishia wapa na mpango wake wa kuzalisha sukari nchini.

Mwisho naona mhitasari wa mazungumzo faida ni kwa Uganda tu, Sijaona Tanzania itakavyofaidika.
Hakuna nchi inayojitosheleza kwa kila kitu, hata china nao wanaimportation kibao.
 
Tunanunua Umeme kutoka Uganda? Wanazalisha kiasi gani wao kwa siku? Wamejitosheleza?

Kwahiyo sukari inaingilia Uganda kuja Bara baada ya mwamba kuzuia kuingizia sukari Zenji kuja Bara sio!

Kila la kheri GENGE, waliwapenda, wanawapenda kwakuwa mnawakung'utia vumbi lenu
Umeme wa mkoa wa kagera unatoka Uganda lkn haimaanishi kuwa wao wanajitosheleza hapana, ukiwa kampala kukatka kwa umeme ni jambo la kila siku nafuu ya Dar.
 
Ni aibu kwenda kununua Uganda ikiwa uwezo wa kuzalisha tunao.
Hata sukari uwezo wa kuzalisha tunao
Kuna vitu vya kuagiza nje Ila sio kwa vitu Kama hivyo.
Kuna siku hata unga wa ugali tutaagiza nje
Uwezo wa kuzalisha kwa makaratasi tunao lakini practically talking shop.
Waliopewa dhamana ya kuzalisha sukari wanapendeleà Kufanya ulanguzi wa sukari kwa kununua sukari toka nje badala ya kuzalisha sukari nchini.
Kuna tatizo la msingi linalotakiwa kutatuliwa kwanza,kwanini wawekezaji hawavutiwi kuzalisha sukari nchini kwa kipindi kirefu?
India ina wazalishaji wadogo wadogo wengi,wanachangia kiasi kikubwa cha uzalishaji wa sukari. Labda tungelenga kuwawezesha maelfu ya wazalishaji wadogo wadogo.
Mimea ya kutoa sukari ni mingi ti sio miwa tu.
 
Kwa hiyo Uganda wanaweza kutengeneza dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ila sisi hatuwezi.?

Kingine tujiulize kwanini Uganda ana ziada ya sukari kuuza nje ya nchi sisi tunashindwa nini?

R.I.P Magufuli sijui Azam ameishia wapa na mpango wake wa kuzalisha sukari nchini.

Mwisho naona mhitasari wa mazungumzo faida ni kwa Uganda tu, Sijaona Tanzania itakavyofaidika.
Bagamoyo Sugar ya Bahressa inaanza kuzalisha sukari mwezi August 2022.
 
Naona hapo tutanunua ARVs toka Uganda, na pia tumewakubalia kupunguza bei ya usafiri kwa lori moja kwa dola 10 za kimarekani.

Wao watatuletea tani elfu 10 za sukari, kwani hiyo sukari watatuletea bure?

Sijaona sisi tulichopata toka kwa hayo mazungumzo, naona waganda wanatupiga sana.
Mkiambiwa huyu mama ni janga muwe mnaelewa
 
Utapeli mwingine ni wa kijinga sana, makubaliano hayo si yako kwenye jumuiya ya afrika mashariki. Huko yameshindikana ndio wanakubaliana pembeni kama sio utapeli ni nini?
Utapeli kwani ni dhalimu wako yuko madarakani bado huyo?
 
Mama Samia ni mwepesi kupunguza tozo zinazowagusa wageni, lakini yuko busy kuongeza tozo kwa mzawa.

Sijui ana chuki na wazawa?
Magufuli mlimwita mshamba, ana haribu biashara na majirani.

Ngoja mamaenu huyu awafanyizie sasa.
 
Back
Top Bottom