Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mama Samia ni mwepesi kupunguza tozo zinazowagusa wageni, lakini yuko busy kuongeza tozo kwa mzawa.
Sijui ana chuki na wazawa?
Sijui ana chuki na wazawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitulia wasaidizi wake allowance utawalipa ww? Au hujui safari watu wanakula kwa urefu wa kamba zaoKwa mtindo huu bora asiwe anasafiri, atulie tu hapa ndani.
Kumbukeni Kuna bandari ya Mombasa pia
Unapunguza Bei kidogo unauza unit nyingi,by the way Uganda/museveni ni mashirika wetu mkuu,hata kipindi Cha cow alikua kwetu kinyemelaKwa hiyo tupunguze thamani yetu mpaka chini kusudi tusishindwe na Mombasa? Hata hiyo offer bado haitazuia Uganda kutumia bandari ya Mombasa.
Wanasema anaifungua nchi kwanza.Mama Samia ni mwepesi kupunguza tozo zinazowagusa wageni, lakini yuko busy kuongeza tozo kwa mzawa.
Sijui ana chuki na wazawa?
Hiyo nusu nyingine googleNaona hata taarifa ya Ikulu imekaa kimchongo mchongo sana.
Kwa mfano inasema tozo za usafirisha mizigo ya Uganda itapunguzwa mpaka kuwa dola 10, lakini haisemi hapo awali tozo ilikuwa ni kiasi gani?
Kitaaluma unapotoa ripoti ya ulinganifu (comparative analysis) ni lazima utamke pande zote mbili za figure/facts zinazozungumziwa ili kuwa proper reference analysis, unapotaja upande mmoja tu, unakuwa umesema nusu ya ukweli na kuficha nusu nyingine ya ukweli.
Hayo makubaliano siyo ya kupunguza bei kidogo! Ingekuwa ni ya kupunguza bei kidogo ili kuwa competitive tusingeshangaa.Unapunguza Bei kidogo unauza unit nyingi,by the way Uganda/museveni ni mashirika wetu mkuu,hata kipindi Cha cow alikua kwetu kinyemela
Mnajitia wasi wasiWenye kuwa na uwezo wa jicho l a tatu mikono kichwani wpiga makofi viJembe. Watanzania tujiandae kiSaikoloji
Kuna ukweli mkuu au huna hbr kamili inamaana na yey Ni muhanga wa sukar alfu atuuzie ss Tena mbn African Ni waendawazimuUganda sio kwamba wanazalisha sana sukari, bado nao wananunua kutoka Brazil. Alafu nao wanatuletea huku.
Nchi ya kijuha hii
Uganda wanashida Sana ya umeme asikuambie mtu huko busiya huko hakuna umeme kbsa man mkoa ule Kama ukivyo labda Mara sas wametoa wapi umem wakutupa ss tuanaotegemea usalilishaji uanze kwa stigle rsTunanunua Umeme kutoka Uganda? Wanazalisha kiasi gani wao kwa siku? Wamejitosheleza?
Kwahiyo sukari inaingilia Uganda kuja Bara baada ya mwamba kuzuia kuingizia sukari Zenji kuja Bara sio!
Kila la kheri GENGE, waliwapenda, wanawapenda kwakuwa mnawakung'utia vumbi lenu
Dola kumi katika ngapi za awali!?Hayo makubaliano siyo ya kupunguza bei kidogo! Ingekuwa ni ya kupunguza bei kidogo ili kuwa competitive tusingeshangaa.
ARV kutoka Uganda ! msithubutu kupata ukimwi , nawaonya mara ya mwisho