Rais Samia ashukuriwe na kupongezwa sana Kwa Uongozi Wake Uliobadilisha Maisha ya Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Ni Lazima Sote kwa Pamoja bila kujali itikadi za vyama vyetu ,Dini zetu ,Makabila Yetu ,ukanda ,jinsia zetu ni lazima tukubali Ukweli wa Kuwa Rais Samia Uongozi wa Rais Samia Tangia kuingia Kwake Madarakani Umebadilisha Maisha ya watanzania. Umeleta Matumaini kwa watu na Kugusa Maisha ya watanzania.

Kuna maelfu kwa maelfu ya Vijana walikuwa wanalandalanda Mitaani na Vyetu vyao vya Vyuo vikuu wakiwa wamepoteza Matumaini ya kupata ajira serikalini. Lakini alipoingia madarakani Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa ajira maelfu kwa maelfu kila wakati.

Ukienda kwa wakulima ilifika wakati wakataka kukata tamaa ya kulima kutokana na bei ya pembejeo hususani mbolea kuwa juu sana. Mfano mbolea ya DAP ilifikia laki moja na Pointi, Lakini alipoingia madarakani Rais wetu na kukalia kiti kikuu kipitacho viti vyote aliweka na kutoa ruzuku ya Billion zaidi ya 150 na kufanya bei ya mbolea kushuka . Ambapo mbolea mfano ya DAP ikaanza kupatikana kwa Elfu 70 Tu kwa mfuko kutoka laki na 20 huko.

Watumishi wa umma walikuwa wamekata Tamaa na kupoteza morali ya kazi kutokana na kutopandishwa mishaharaa,madaraja ,kukosa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka, mazingira magumu ya kazi na mengine mengi. Lakini Mama alipoingia madarakani akaboresha yote hayo hali iliyoinua morali ya kazi kwa watumishi wa umma na kuongeza ufanisi wa kazi maofisini na kazini.

Ukija kwa wafanyabishara kuna wengine walikuwa wanataka hata kukimbia Nchi na kuhamishia biashara zao nchi zingine kutokana na ugumu wa mazingira ya biashara. Lakini alipoingia madarakani Rais wetu Mpendwa aliboresha mazingira ya biashara na kukataa kabisa kuona uonezi kwa wafanyabishara ama kukusanywa kwa kodi za dhuruma za jasho na machozi ya watu.

Leo hii tunashuhudia biashara zikifunguliwa kila Uchao na kila kona ya Nchi hii kutokana na imani kubwa waliyonayo wafanyabishara kwa serikali na mazingira mazuri ya kibiashara. Ndio maana hata mapato yameendelea kukua na kuongezeka pasipo mtu kushikiwa mtutu wa bunduki. Ni amani amani tu.

Ndio Maana tunasema Rais Samia amebadilisha na Kugusa Maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa kila mmoja wetu. Kila mwenye ndoto anaona nafasi na fursa ya kutimiza ndoto zake. Yote ni kwa sababu ya uwezo wa kiuongozi na Maono makubwa aliyonayo Rais wetu Mpendwa.

Tunaendelea kumuunga mkono na kumpatia ushirikiano ili aendelee kututumikia kwa utulivu . tusikubali kuona mtu yeyote yule awaye akimkatisha tamaa na kumvunja moyo Rais wetu Mpendwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3593652
Qmmmko chokwo wewe
 
You are right ata Abdul amesema hivyo
 
Mama amebadilisha maisha ya Watanzania
Maisha ya Watanzania 👇🏼
PXL_20260520_095204118.jpg
PXL_20260512_103739264.jpg
PXL_20260512_103406696.jpg
PXL_20260512_104503646.jpg
PXL_20260508_140342340.jpg
PXL_20260504_125945793.jpg
 
Screenshot_20260523-112653~2.png
 
Acheni kupenda kuchukua vipicha vya mitandaoni kutoka huko nchi zingine na kuja kupotosha watu mitandaoni . Huo ni ujinga
Lucas Mwashambwa, hapo ni Mbeya na picha nimezipiga mimi mwenyewe wiki iliyopita
Angalia detail ya kila picha hapo inaanza na PXL...... na zina tarehe na mwaka zilipopigwa
 
Back
Top Bottom