Rais Samia ashukuriwe na kupongezwa sana Kwa Uongozi Wake Uliobadilisha Maisha ya Watanzania

Ndugu zangu Watanzania,

Ni Lazima Sote kwa Pamoja bila kujali itikadi za vyama vyetu ,Dini zetu ,Makabila Yetu ,ukanda ,jinsia zetu ni lazima tukubali Ukweli wa Kuwa Rais Samia Uongozi wa Rais Samia Tangia kuingia Kwake Madarakani Umebadilisha Maisha ya watanzania. Umeleta Matumaini kwa watu na Kugusa Maisha ya watanzania.

Kuna maelfu kwa maelfu ya Vijana walikuwa wanalandalanda Mitaani na Vyetu vyao vya Vyuo vikuu wakiwa wamepoteza Matumaini ya kupata ajira serikalini. Lakini alipoingia madarakani Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa ajira maelfu kwa maelfu kila wakati.

Ukienda kwa wakulima ilifika wakati wakataka kukata tamaa ya kulima kutokana na bei ya pembejeo hususani mbolea kuwa juu sana. Mfano mbolea ya DAP ilifikia laki moja na Pointi, Lakini alipoingia madarakani Rais wetu na kukalia kiti kikuu kipitacho viti vyote aliweka na kutoa ruzuku ya Billion zaidi ya 150 na kufanya bei ya mbolea kushuka . Ambapo mbolea mfano ya DAP ikaanza kupatikana kwa Elfu 70 Tu kwa mfuko kutoka laki na 20 huko.

Watumishi wa umma walikuwa wamekata Tamaa na kupoteza morali ya kazi kutokana na kutopandishwa mishaharaa,madaraja ,kukosa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka, mazingira magumu ya kazi na mengine mengi. Lakini Mama alipoingia madarakani akaboresha yote hayo hali iliyoinua morali ya kazi kwa watumishi wa umma na kuongeza ufanisi wa kazi maofisini na kazini.

Ukija kwa wafanyabishara kuna wengine walikuwa wanataka hata kukimbia Nchi na kuhamishia biashara zao nchi zingine kutokana na ugumu wa mazingira ya biashara. Lakini alipoingia madarakani Rais wetu Mpendwa aliboresha mazingira ya biashara na kukataa kabisa kuona uonezi kwa wafanyabishara ama kukusanywa kwa kodi za dhuruma za jasho na machozi ya watu.

Leo hii tunashuhudia biashara zikifunguliwa kila Uchao na kila kona ya Nchi hii kutokana na imani kubwa waliyonayo wafanyabishara kwa serikali na mazingira mazuri ya kibiashara. Ndio maana hata mapato yameendelea kukua na kuongezeka pasipo mtu kushikiwa mtutu wa bunduki. Ni amani amani tu.

Ndio Maana tunasema Rais Samia amebadilisha na Kugusa Maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa kila mmoja wetu. Kila mwenye ndoto anaona nafasi na fursa ya kutimiza ndoto zake. Yote ni kwa sababu ya uwezo wa kiuongozi na Maono makubwa aliyonayo Rais wetu Mpendwa.

Tunaendelea kumuunga mkono na kumpatia ushirikiano ili aendelee kututumikia kwa utulivu . tusikubali kuona mtu yeyote yule awaye akimkatisha tamaa na kumvunja moyo Rais wetu Mpendwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3593652
Maviiii!
 
Umesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendalo na siku zako za kuishi hapa Duniani zimebakia chache sana
Wewe ambaye umekubali kujibadili matumizi utumike kama mwanamke ndiye usiyejitambua na adhabu yako ni kuchomwa moto kama wale wajinga wa Sodoma na Gomorrah.
 
Usisahau kuwa kaua watu.
 
IMG-20260524-WA0001.jpg
 
Ni nadra sana mtu kujijua kuwa ni mjinga
Lkn Naamini wewe unajijua kuwa ni mjinga.
 
Na zaidi ya kumshukuru,
Kama taifa nadhani itapendeza zaidi kumuombea baraka na neema za Mungu aendelee kuchapa kazi za umma bila kuchoka wala kukata tamaa
 
Kwa hakika Taifa tuna kila sababu ya kumshukuru Rais wetu na kuendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania
 
Back
Top Bottom