6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
- Thread starter
- #41
Waziri mkuu kupambana peke yake bila back up kubwa ya raisi ni kazi bure. Anatakiwa apate usaidizi wa juu na pia kutoka kwa wenzake wa chini, yani mawaziri.Ukiacha waziri mkuu anayehangaika na ufisadi sioni kiongozi mwingine aliye serious kulinda mali za umma kwa sasa