Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.

Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia


Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.
Screenshot_20250806-200822_1.jpg
Screenshot_20250806-200829_1.jpg
 
Mh.................coment moja kifungo miaka 10..........hapana kwa kweli mi natamani bado kurudi bongo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.

Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu jamaa ,marafiki chama ,wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Lakini pia Rais wetu Mpendwa akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutajua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Kifo ni kifo tu. Na Samia ni miongoni mwa walioshiriki na kubariki Lissu apigwe risasi karibuni tujiandae maana na yeye amefanya kiburi cha uongozi cha kutaka kumnyonga Lissu.
Soon.
 
Back
Top Bottom