Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Kwakua umekubari matakwa ya wana ccm mtandao basi utaishi kwa amani apo magogoni na kwenye hilo ni km umetusaliti mwendo wa uliyemuandika hapo uwe pamoja nawe vivyohivyo
Aisee! Utafanya wapate tumbo la kuhara sasa hivi!Yaani shetani aombe tumuombee shetani kwa Mungu. Huyu ndio alizuia matibabu ya Lisu, alikuwa ananyanyasa wapinzani na kuwadhalilisha. Huyu si ndio aliweka knga za kutoshitakiwa viongozi waliokuwa wanatumika na Magufuli kunyanyasa watu? Si ndiye alipitisha mafao ya kufuru ya wenza wa viongozi. Kama kuna moto kuni ziweke nyingi kwa huyo shetani.
Kuingia kwa uchawa dada.Ulitaka uingie kwa Miguu?
Mmm! Huyu hajakimbia madeni ya mikopo ya kutia nia!Hafanyi drama kweli?
Hureeeeeee. Kifo ni kifo tuEmbu acha ujinga wako hapa wewe. Nani mpigania haki hapa Nchini zaidi ya Rais Samia anayewapigania watanzania usiku na Mchana?
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Itapendeza zaidi.Mungu tunaomba mpende na Mama zaidi kama ulivyompenda Magu na Ndugai.
Utapendwa wewe kabla ya mwezi huu kuisha.Mungu tunaomba mpende na Mama zaidi kama ulivyompenda Magu na Ndugai.