Labda Vya kwenu ndio viondoke.Angeondoka na vimama viwili kimoja kutoka visiwani na kingine kutoka mbeya taifa lengepona.
Kwenda zako huko wewe. Labda wewe ndiye hufai na ujinga wakoSamia anawapigania haki kwa kuwaibia maliasili zao na mafisadi wenzie usiku na mchana? Acheni uchawa wenu huyu mama hafai angelitwaliwa yeye badala ya Ndugai😳😳
Anayelia sana msibani....Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Mnafiki Mwenyewe usiye jitambuaSamia ni mnafiki tu! Mungu hapendi wanafiki na adhabu yenu mtaipata Hapa Hapa duniani muda si mrefu.
Mbona wewe hujauwawa na ujinga wako.Anapigania haki kwa kuteka na kuua watanganyika au sio, anapigania haki ya kikwete na mafisadi wenzie sio!
Ulitaka uingie kwa Miguu?Huyo mama yako anasikitika na kupost kwa kutumia VPN katika mtandao alioufungia na watu wanaokuja kutoa maoni wanaingia kwa VPN.
Kwanza sio spika mstaafu ni spika aliyestaafishwa baada yakuhoji juu ya deni la Taifa,halafu pili Kifo ni Kifo tu haihitaji hudhuniNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Peleka ujinga wako kwa wajinga wenzako unaofanana akiliMnafiq mkubwa huyo mkojani
Laana Inakusumbua ewe usiye na akili na uliyekosa malezi ya wazazi wako na kushindwa kufundwa adabu. Huna akili kabisaMjaa wa laaana ni wewe unashadidia maovu juu ya watu kisa utofauti wa mawazo. Laana unayowewe na Samia. Nimeongea hayo ukifanya ujinga nitakuja kufanyia kitu hutasahau kwasababu na kujua vyema.
Kwani unanitaka na mimi kama mlivyo fanya kwa mdude?Mbona wewe hujauwawa na ujinga wako.
Nadhani aliyeanzisha huu mtindo ni Dkt Magufuli, alipofariki Agustino Mahiga hakuwenda msibani na aliapisha mwingine kabla hata ya kuzikwa na sijui kama alionesha huzuni. Baada ya hapo mbowe na genge lake walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli, na ndiyo maana huu mtindo umeshamiri. Mbowe aka kengeza siku akifa naye watu watashangiliaKweli hii nchi inahitaji kiongozi mwenye busara na unyenyekevu wa kiwango cha juu kurudishia pamoja. Reconciliation ni ya muhimu sana kwa mtu anayelitakia mema Taifa hili. Leo watu wanaweza kubeza kifo cha kiongozi mkubwa, kitu ambacho hakikuwa utamaduni wetu hata kidogo.
Ni imejengwa na watawala kutojali maisha ya watu wengine hasa wakosoaji wao. Tumejikuta tumetengeneza makundi yenye maumivu,uchungu na hasira,hivyo ikitokea mmoja wa watesaji wao akifikwa na jambo la huzuni kwao ni faraja.
Ukweli ni hatari sana kupuuza hali hii. Tumuombe Mungu Rehema na turudi kuheshimu na kujali haki ya wengine kuishi.
DuuNadhani aliyeanzisha huu mtindo ni Dkt Magufuli, alipofariki Agustino Mahiga hakuwenda msibani na aliapisha mwingine kabla hata ya kuzikwa na sijui kama alionesha huzuni. Baada ya hapo mbowe na genge lake walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli, na ndiyo maana huu mtindo umeshamiri. Mbowe aka kengeza siku akifa naye watu watashangilia
Huo ni ujinga tuNadhani aliyeanzisha huu mtindo ni Dkt Magufuli, alipofariki Agustino Mahiga hakuwenda msibani na aliapisha mwingine kabla hata ya kuzikwa na sijui kama alionesha huzuni. Baada ya hapo mbowe na genge lake walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli, na ndiyo maana huu mtindo umeshamiri. Mbowe aka kengeza siku akifa naye watu watashangilia