Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.

Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Mnafiq mkubwa huyo mkojani
 
Asituletee taharuki
 
Siasa za vyama vingi zinaturudisha nyuma sana nchi za afrika....huu mfumo hautufai

Uchaguzi kila baada ya miaka mitano unaturudisha nyuma, tunatumia pesa nyingi za walipa kodi wakati matokeo tunajua kabisa nani atashinda na ni nani atashindwa

Bora viongozi watawale kwa miaka 10 na wasirudi tena kwenye chaguzi bali wakumbukwe kwa yale waliyoyafanya

Hizi fedha ni bora tuzitumie kwenye mambo ya msingi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.

Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Kifo ni kifo tuuu kama vifo vinginee
Kwani wamekufa wangapi
 
Mtanzania mwenzako nani wewe!?
 
Mimi nadhani kuondolewa kwake uspika wa bunge ndiko kumesababisha kifo chake. Kuna watu huwa wanang'ata na kupuliza, wanauwa na kuongoza kulia kilio cha huzuni msibani.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.

Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.

Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Kifo ni kifo tu,wqlijua Tundu Lissu angekufa leo wanakufa wao
 
Na Wewe umebubujikwa na machozi ya Huzuni!
 
Wewe ni nani unayemsemea Samia? Mnafiki sana paka wewe.
 
Huyu Jamaa ndiye alizuia Lissu asipewe pesa za matibabu duuuh jamani tutende haki tunapokuwa kwenye nafasi za uongozi maana ni privilege tu Mungu amekupa kwa wakati huo, kuna watu wazuri zaidi yako wapo lakini hawajapata hizo nafasi,
Huyu Mwendazake hakuongoza vyema Bunge, He was very Proud and arrogant like his counterpart Tulia, May be that leadership skills is what system need when u are Speaker of National assembly.
May God strengthen the bereaved family.
 
Nawe mkumbushe KUHUSU Ali kibao. Muulize huwa ana muombea Dua?

Kwishaaaaaaa
 
Back
Top Bottom