Maana kifo ni kifo tu.Asituletee taharuki

Mnafiki SamiaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Wewe kama huna adabu ni shauri yako. Mpuuzi mmoja usiyejua madhila ya watu wengine bali kuangalia maslahi yako.Laana Inakusumbua ewe usiye na akili na uliyekosa malezi ya wazazi wako na kushindwa kufundwa adabu. Huna akili kabisa
Unafikiri kwa nini walishangilia? Ulitegemea kwa mfano familia ya Ben Saanane au Azory Ngwanda walimlilie Magufuli? Unakumbuka ndege ya aliyekuwa Rais wa Rwanda Gen. Habyalimana alikufa kwenye ajali hiyo, kuna wanyarwanda waliokuwa wakimbizi Tanzania walifanya sherehe, na aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania enzi hizo Mzee Malecela aliamuru wakamatwe mpaka Mwalimu Nyerere alipomkemea kuwa wewe ulitegemea hawa wanyarwanda walimlilie mtu aliyewafanya waikimbie nchi yao!!Nadhani aliyeanzisha huu mtindo ni Dkt Magufuli, alipofariki Agustino Mahiga hakuwenda msibani na aliapisha mwingine kabla hata ya kuzikwa na sijui kama alionesha huzuni. Baada ya hapo mbowe na genge lake walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli, na ndiyo maana huu mtindo umeshamiri. Mbowe aka kengeza siku akifa naye watu watashangilia
Huo usiku na mchana anapigana nn mbona unakuwa muongo sana ww chawa?!.Embu acha ujinga wako hapa wewe. Nani mpigania haki hapa Nchini zaidi ya Rais Samia anayewapigania watanzania usiku na Mchana?
Hii itakuwa bomba sana, ewe Israili hebu fanya kweli hapa.Wewe kama huna adabu ni shauri yako. Mpuuzi mmoja usiyejua madhila ya watu wengine bali kuangalia maslahi yako. View attachment 3434574
Kwenda zako huko weweHuo usiku na mchana anapigana nn mbona unakuwa muongo sana ww chawa?!.
Huyu ni hamna kitu nchi inaendeshwa tu na wahuni sasa hv!
Makubwaa ,alipompinga si.alimla kichwaa sasa anasikitika nini .Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Alijiuzuru Mwenyewe bila shinikizoMakubwaa ,alipompinga si.alimla kichwaa sasa anasikitika nini .
Anna way pole Dr Fatma Mganga Mjane wa hayati Job Ndugai
Eeee mchawaa mwenyewe katka ubora wakoAlijiuzuru Mwenyewe bila shinikizo
Kwa nini amesikitishwa?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Ccm WAGOMBEA Mungu... Upinzani hatuna pa kuombea makanisa / kanisa letu mmelifunga pale ubungoNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai Aliyefariki Dunia hii leo.
Ambapo Rais wetu Mpendwa ametoa pole sana kwa familia ,ndugu, jamaa ,marafiki ,chama na wale wote aliowahi kufanya nao kazi wakati wa uhai wake . Pamoja na kuiombea Familia moyo wa subira ,uvumilivu katika wakati huu mgumu na wa majonzi Makubwa sana pamoja na kuomba Mungu aipatie faraja.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Lakini pia Rais wetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa sana akaomba Watanzania Kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mheshimiwa Jobu Yuston Ndugai ambaye kwa sasa ametangulia mbele za haki na hatunaye tena na hatutakua naye tena wala kuonana naye tena katika Ulimwengu huu tuishio.View attachment 3434141View attachment 3434144
Ndio mpk kazimaHUYU SI NDIE ALIMCHAPAGA DIWANI FIMBO MBELE YA MKEWE
AiseeeweNdio mpk kazima
Mama wawili una upumbavu mwingi sana badala ya kunyonyesha watoto wako uko bize kujaza upuuzi wako humu. johnthebaptist muonye huyu mama wawili anazembea sana kunyonyesha watoto.Peleka ujinga wako kwa wajinga wenzako unaofanana akili