Rais Samia asingewakumbatia Mchwa wa Ufisadi angeweza kuwa Mama wa Taifa ajaye

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina.

Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tunakupenda na Kukukumbuka.
 
Nimegundua kuzungukwa na aina ya watu fulani wakati mwingine kunasababishwa na upeo wa kiongozi husika, akiwa na upeo mkubwa atazungukwa na anaofanana nao, na akiwa na upeo mdogo, pia atazungukwa na wale anaofanana nao, na bahati mbaya hata ukimwambia hao waliokuzunguka hawafai, yeye anaishia kukushangaa tu.
 
Hao unaowatukana na kuwakejeli, ndiyo wanao muweka mjini sasa! Siku zote siasa ndivyo ilivyo.

Watu wa aina hiyo uliyoitaja, huwa na ujasiri sana ukilinganisha na wale werevu, ambao mara zote hubakia kuwa mabubu! Na watu wa kulalamikia gizani kama wewe mtoa mda.
 
Je wewe uko tayari kupangiwa marafiki na nani awe mtu wako wa karibu?
 
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina.

Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tunakupenda na Kukukumbuka.
Anakwepaje ufisadi wakati kutokea mikono mwa ufisaidi wa JK
 
Kwa ule mkeka wa mwendazake wa wabunge wa 2020 she cant do anything.... Yani bungeni hakuna mwenye upeo hata mmoja, wote waliingia kwa mgongo wa favor na akili zao zimejaa mentality za uchawa na kujipendekeza.

Yani akilini mwao hakuna wanalowaza zaidi ya kufanya kazi ili mkuu awaone ili angalau awape favor fulani...
 
wabunge wa 2020 mkeka ni wa Samia na JPM
 
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina.

Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tunakupenda na Kukukumbuka.
Ndege wa kundi moja huruka pamoja.
Unavyo wanna waliomzunguka ndivyo yeye alivyo
 
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina.

Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tunakupenda na Kukukumbuka.
Wacha kupakazia , Laanatullahi Nyerere Kama alizungukwa na watu bright na intelligent asingaliondoka madarakani nchi ikiwa imefilisika. Hata chumvi ilikuwa kipusa. Viatu tukivaa mapira ya gari. Mafisadi ndiyo walikuwa huru kufanya watakavyo. Yeye akiwa badilisha mawizara tu. Uliza Mgonja alifanywa nini.
 
Kwa ule mkeka wa mwendazake wa wabunge wa 2020 she cant do anything.... Yani bungeni hakuna mwenye upeo hata mmoja, wote waliingia kwa mgongo wa favor na akili zao zimejaa mentality za uchawa na kujipendekeza.

Yani akilini mwao hakuna wanalowaza zaidi ya kufanya kazi ili mkuu awaone ili angalau awape favor fulani...
CCM yupi ambae alikosa ubunge na unaamini yupo vizuri zaidi ya waliokuwepo huko bungeni?
 
Wacha kupakazia , Laanatullahi Nyerere Kama alizungukwa na watu bright na intelligent asingaliondoka madarakani nchi ikiwa imefilisika. Hata chumvi ilikuwa kipusa. Viatu tukivaa mapira ya gari. Mafisadi ndiyo walikuwa huru kufanya watakavyo. Yeye akiwa adulisha mawizara tu. Uliza Mgonja alifanywa nini.
Wavaa kobazi mkisikia jina nyerere mnaanza kuwashwa
 
Hao unaowatukana na kuwakejeli, ndiyo wanao muweka mjini sasa! Siku zote siasa ndivyo ilivyo.

Watu wa aina hiyo uliyoitaja, huwa na ujasiri sana ukilinganisha na wale werevu, ambao mara zote hubakia kuwa mabubu! Na watu wa kulalamikia gizani kama wewe mtoa mda.
Kweli kabisa kuna mwerevu mmoja hivi majuzi kasema zile Trilioni 360 zilikuwa changa la macho, ilikuwa ni negotiation strategy.. [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom