Rais Samia asingewakumbatia Mchwa wa Ufisadi angeweza kuwa Mama wa Taifa ajaye

Wacha kupakazia , Laanatullahi Nyerere Kama alizungukwa na watu bright na intelligent asingaliondoka madarakani nchi ikiwa imefilisika. Hata chumvi ilikuwa kipusa. Viatu tukivaa mapira ya gari. Mafisadi ndiyo walikuwa huru kufanya watakavyo. Yeye akiwa badilisha mawizara tu. Uliza Mgonja alifanywa nini.
Wallah vile!! Weye kama siyo Mpemba, basi utakuwa ni Mkojani! Yaani una kile kiswahili laini kabisa cha kutoka Kisiwa Ndui.

Halafu usimuongelee Nyerere kwa ubaya hivyo! Amewasaidia mambo mengi sana nyinyi Wazanzibari, kuliko hata sisi ndugu zake wa Tanganyika.
 
Ametusaidia sana kwa kutuulia Wazee na ndugu zetu kwa maalfu
 
Yakhee!! Bila ya Nyerere, mpaka leo mngekuwa mnatawaliwa na Sultan wa kutoka Oman!

Nyerere ndiye aliye wasaidia kwa siri kumfurusha yule Maamuma Sultan wenu mkatili kabisa siku ile ya January 12, 1964!
 
Ila tukiwa wakweli, nafasi ya Uraisi siyo ya kila mtu.....
Kuongoza taifa la watu zaidi ya milioni 60 inahitaji akili ya ziada....
 
Gasom kama vile hana furaha siku za hivi karibuni.
 
Yakhee!! Bila ya Nyerere, mpaka leo mngekuwa mnatawaliwa na Sultan wa kutoka Oman!

Nyerere ndiye aliye wasaidia kwa siri kumfurusha yule Maamuma Sultan wenu mkatili kabisa siku ile ya January 12, 1964!
Sultan kazaliwa wapi na kamuuwa nani?
 
Ila tukiwa wakweli, nafasi ya Uraisi siyo ya kila mtu.....
Kuongoza taifa la watu zaidi ya milioni 60 inahitaji akili ya ziada....
Na ikatokea akapewa mtu yeyote yule, basi shughuli yake hugeuka kuwa pevu.
 
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina.

Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tunakupenda na Kukukumbuka.
Rais Samia Suluhu anafanya kazi kubwa sana na anayaishi maono ya baba wa taifa kwaiyo acha makasiliko mtoto mdogp
 
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina.

Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tunakupenda na Kukukumbuka.
Nayulemzee wachatuasingepeleka Madinirwanda inchiiingekuwa tajilisana anzakumsemamtusi mwinziokengewewe
 
Back
Top Bottom