Rushwa tupuRais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa muda Dereva wa kuilipa.
Uonevu tupuKwa sasa kufanya biashara ya usafirishaji TZ ni shida sana hasa kwa gari hiace, wanaomba leseni wakidai wanakagua ukimpa tuu kinachofata ni faini bila sababu za msingi, nchi yetu kama tutafika tuendako
Thubutu hawa wanalinda kura wakati wa uchaguzi mkuuSuluhisho
- Kuwekwe vituo maalumu vya ukaguzi wa vyombo vya moto kwenye kila barabara
- Vituo hivyo vifungwe cctv cameras for transparency reasons.
Ikiwa hivi faini n rushwa zitapungua, kwa sasa kila baada ya umbali mfupi kuna geti na kila geti lazima utoe si chini ya 3000 madam tu unafanya biashara ya abilia, hawajali mafuta yamepanda yaani taabu sanaSuluhisho
- Kuwekwe vituo maalumu vya ukaguzi wa vyombo vya moto kwenye kila barabara
- Vituo hivyo vifungwe cctv cameras for transparency reasons..
Kampeni zikianza magari yote mnawapa CCM na hayo ndiyo malipo yenyeweIkiwa hivi faini n rushwa zitapungua, kwa sasa kila baada ya umbali mfupi kuna geti na kila geti lazima utoe si chini ya 3000 madam tu unafanya biashara ya abilia, hawajali mafuta yamepanda yaani taabu sana
Kama Mama anamaanisha anachokisema tuyaone hayo kwa vitendo badala ya manenoIkiwa hivi faini n rushwa zitapungua, kwa sasa kila baada ya umbali mfupi kuna geti na kila geti lazima utoe si chini ya 3000 madam tu unafanya biashara ya abilia, hawajali mafuta yamepanda yaani taabu sana
Ivi kisheria imekaaje? Unaruhusiwa mkumpa lesini yako Traffic bila kukwambia kosa lako?Kwa sasa kufanya biashara ya usafirishaji TZ ni shida sana hasa kwa gari hiace, wanaomba leseni wakidai wanakagua ukimpa tuu kinachofata ni faini bila sababu za msingi, nchi yetu kama tutafika tuendako
Lile fupa gumu Mama haliwezi! Lita msususia Sasa hivi akijaribu kuwabana!!Mama butua watu kadhaa usiishie kusema tu...
Kiongozi katika biashara huwezi kubagua wateja, akija CCM, CHADEMA, ACT, CUF et all amekupa mkwanja unachukua, sidhani kwa mfano dukani utakuwa unabagua wateja huyu ni adui yangu nisimuuzie hiyo siyo biasharaKampeni zikianza magari yote mnawapa CCM na hayo ndiyo malipo yenyewe
No CCM huwa inayachukua kubeba watu toka vijijini, mbona Ndesamburo na Mbowe walikataa pesa au wao hawahitaji pesa?Kiongozi katika biashara huwezi kubagua wateja, akija CCM, CHADEMA, ACT, CUF et all amekupa mkwanja unachukua, sidhani kwa mfano dukani utakuwa unabagua wateja huyu ni adui yangu nisimuuzie hiyo siyo biashara
Anachukua kukagua kama leseni ni yenyewe au umebeba kadi ya bankIvi kisheria imekaaje? Unaruhusiwa mkumpa lesini yako Traffic bila kukwambia kosa lako?
Hawezi polisi ndiyo wanalinda wizi wa kura za CCMLile fupa gumu Mama haliwezi! Lita msususia Sasa hivi akijaribu kuwabana!!