Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

Siku hizi askari anakushikia vipi leseni wakati hata nikumachia nina namba ambazo ndio muhimu na IDs zingine plus copy.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kwani yeye anachotaka si ni namba za leseni! Ama unafikiri anachohitaji hasa ni kipi? Ukimnyima hawezi kukuandikia ila ukimpa tu umempa nguvu ya kukunyoosha😅
 
Polisi ni kikwazo kikubwa cha mendeleo, shughuli za usafirishaji zinakwamishwa sana na askari barabarani kwa kusimamisha magari hovyo na muda mrefu.
Kama Rais anamaanisha anachozungumza basi hatua zichukuliwe.
 
Mbona jeshi la police litasababisha kuanguka kwa CCM.
 
Mama kuna uhamiaji nao

Wananyima watu passport kisa tu ticketi hana

Sasa ticketi utakataje bila passpirt?
Huo ufala weka booking toa copy ukawape.maana ubalozini unakoenda kuomba visa utaulizwa pia hiyo tkt.
 
Traffic Police waangaliwe sana, wanatesa sana madereva kwa tamaa zao za rushwa...
 
Mwambieni mama wenye hivyo vyombo wengi hawana makosa na wamekataa kutoa rushwa
 
Polisi ni sehemu ya kuuza na kununua vyombo vya moto hususan pikipiki so kushikiria ni mpango kazi kufankisha mnqda wao na wao ndo wanunuzi wakubwa Kwa bei cheee wao wanakwenda kuuza bei nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…