Rais Samia ataka wananchi wasibugudhiwe

Rais Samia ataka wananchi wasibugudhiwe

Joined
Jun 4, 2022
Posts
68
Reaction score
184
Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie utaratibu mzuri.

 
Back
Top Bottom