ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake.
Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili aweze kushinda yeye na Chama chake
Mh Rais ni mtu wa haki. Na hapa anakuwa anawazoom tu
Baada ya uchaguzi mkuu kiama kitawafikia
1. Watekaji
Watekaji watalia sana
Mh Rais naona hafurahishwi na huu uhuni wa utekaji. Naamini akishinda IGP Wambura na waziri Masauni kibarua kitaota nyasi
2. CCM na chawa wote watalia sana
Naamini humo chamani machawa yatalia. Yatafukuzwa sana, posho zitakata
Mama atanyosha nchi
3. wakuu wa mikoa na wilaya vilaza watakaa benchi
Kama hilo lililofukuza watoto wa shule kisa wazazi ni CHADEMA
Hao wajiandae Mama hatacheka na kima
4. Wapinzani watakula bata
Wale wanangu wa CHADEMA mtakunywa sana kahawa sana ikulu
Mama atawadekeza
5 Barabara na miundo mbinu itakuwa chap
Mama atataka aache legacy
Kumzidi Jiwe
2025 twende na mama