Rais Samia atampata wapi ‘Kawawa’ wake, awe mwaminifu kama Rashid kwa Nyerere


Sasa mtu kama wewe nakujibu nini??
Hujui na hujui kama hujui..
 

Sasa mtu kama wewe nakujibu nini??
Hujui na hujui kama hujui..
 
Uzuri wa Nyerere alikuwa hatumii nguvu, alikuwa anapambana nao kwa hoja
Hili ndilo wanalo sahau wengi, hata hawa wanaozungumzia akina Sir George na akina Kawawa.

Hii ndiyo sifa kuu inayompambanua kiongozi yeyote na kuheshimiwa na walio chini yake, siyo kuogopa "kutania".
 
The Boss ,

..natofautiana na wewe kuhusu Frederick Sumaye.

..Sumaye alibeba lawama nyingi ambazo zilipaswa kwenda kwa Mkapa.

..Na Sumaye alikuwa anapigwa vita kubwa na wana-ccm wenzake haswa kundi la wanamtandao.
Nakubaliana nawe, hata Mkapa aliwahi kusema '' Maamuzi tunafanya lawama anatupiwa Waziri mkuu wangu''. Ingalikuwa Sumaye hakumsaidia Mkapa lazima angemtosa
Tatizo la Sumaye hakuwa makini na kauli zake

The Boss amemtendea haki Kawawa kwa kueleza alivyokuwa Loyal, nakubali.
Amewaruka ''Loyal '' kama CD Msuya ambaye amekuwa Waziri mkuu mara mbili.
Anakuwa PM halafu waziri wa kawaida halafu PM tena. Hakuwa na kinyongo au tamaa

Rais SSH alifanya kosa ''kurithi' viongozi wa JPM. Ali-fumble fursa ya katiba iliyompa nafasi ya kuvunja Baraza la Mawaziri na kuunda lake kuanzia chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…