The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
- Thread starter
- #41
Wewe ndio hujui historia hii.
Kwani Nyerere alijiuzuri ili aende kuchunga ng'ombe?
Kawawa alichaguliwa na nani kushika nafasi hiyo ya Waziri Mkuu? Alimpindua Nyerere?
Kawawa awe na tamaa ya uongozi na kung'ang'ania uongozi, ulikuwepo na kuelewa hali ya siasa ilivyokuwa ndani ya serikali hiyo na uhusiano wa wanaoiongoza? Kawawa ang'ang'anie uongozi kwa misingi ipi hasa...; alikuwa na ufasi wake binafsi mbali ya ule uliokuwepo kwa serikali aliyokuwemo?
Sasa mtu kama wewe nakujibu nini??
Hujui na hujui kama hujui..