Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

Elf 4 kwanza imeshaongezekaaaaa kulingana na mshahara wa ndugu yangu,nangojea ongezeko lingine kama litakuwepo
 
Sasa hapo ni amepunguza nini? Au ametangaza na ongezeko la mishahara.
 
Hapa ndio nyumbu zinakamatwaga. Mtu anapunguza kodi kwa kima cha chini tuu. Yaani mshahara wa kati ya 161,000 hadi 360,000 ndio umepunguza 1%. Hiyo mingine vipi? Alikuja meko na haya haya eti kapunguza kutoka 12% hadi, 9% watu wakashangilia kabisa. Wakati daraja moja tuu ndio anapunguza mengine anapandisha kufidia.
 
Retention fee ndio imetolewa ambayo ilikuwa inaongezeka kwa asilimia 6 kila mwaka
Kwa hiyo ile asilimia 15 bado iko palepale na vp kuhusu wale ambao wanakatwa baada ya hiyo retention fee kuwa calculated...mwongozo wako chief tafadhali.
 
Hapa ndio nyumbu zinakamatwaga. Mtu anapunguza kodi kwa kima cha chini tuu. Yaani mshahara wa kati ya 161,000 hadi 360,000 ndio umepunguza 1%. Hiyo mingine vipi? Alikuja meko na haya haya eti kapunguza kutoka 12% hadi, 9% watu wakashangilia kabisa. Wakati daraja moja tuu ndio anapunguza mengine anapandisha kufidia.
Kwa meko sio kweli, alipunguza percent fulani, kama sio kwa wote basi kwa namba kubwa ya mishahara. Mpala watu wenye mishahara ya 2m walikika wakisema wameona ongezeko la 50,000 kwenye net pay zao.
 
Kwani wafanyakazi wote wanakatwa wanakatwa 9%?... Si wale wa interval flani tena kima cha chini
 
Back
Top Bottom