Balaza kubwa mno hili ni hatari kwa tozo zetu
 
Kwa baraza lako jipya la mawaziri hope umepanic, unapambana na wakati na siyo watu.
 
Mchengerwa kimemkuta Nini?
 
Kwahiyo mabadiliko yaliwalenga watu wanne tu. Lukuvi, Kabudi, Kitila na Mwambe.

Hawa ndiyo walikuwa wanamkwamisha mama.

Pili , haya Ni mabadiliko au ni uhamisho kutoka wizara moja kwenda nyingine.
 
Mabadiliko yaliwalenga kuingizwa watu wawil tu hapa..kwisha
 
Hivi hao waliyoachwa ndio sababu ni 2025?πŸ˜‚ Namuona prof kabud akiwa rais wa jamhuri 2025.🚢
 
Kwa kifupi sana.
Kitila Mkumbo kapigwa chini.
Cecil Mwambe kapigwa chini
Waitara nae kapigwa chini...

Hawa wote ni miongoni mwa Wana Chadema seniors waliosaliti harakati za ukombozi.

Wacha tusubiri hatma ya Akina Halima Mdee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…