Wadau Kabla ya Baraza la Mawaziri kutangazwa Tuliambiwa kuwa Mambo hayaendi kwani kuna Mawaziri wamepatwa na HOMA ya URAIS 2025 Hawawajibiki ktk Majukumu yao ya KIWAZIRI na tukaambiwa WATAACHWA nje ya Baraza la Mawaziri ili WAKAJIANDAE vizuri na URAIS 2025
Baada ya Baraza kutangazwa Baadhi ya Mawaziri WAMEACHWA Wakiwemo kina LUKUVI,KABUDI,WAITARA,MKUMBO na MWAMBE
Je Mawaziri hao ndio Wenye HOMA ya URAIS 2025?
Sent from my SM-J600F using
JamiiForums mobile app