Rais Samia atangaza siku 5 za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth aliyekuwa Mkuu wa Nchi ya Tanganyika

Huyu atakuja kufanya hii nchi mwanamke asije tena kuongoza maisha yote.
Vijana wa siku hizi bwana. Unalalamika sababu ya kutokujua kwako mambo ya kijiopolitiki. Unasahau huyu amewahi kuwa mkuu wa nchi hii enzi hizo ikiitwa Tanganyika, na pia amekuwa kiongozi wa jumuiya ya madola ambayo Tanzania ni mwanachama. Jifunzeni kutohemuka mnapokutana na jambo. Jipeni muda wa kutafakari kabla ya kubwabwaja. Isitoshe kutangazwa kwa siku hizo za maombolezo kumeathiri vipi maisha yako?
 
...From 1961 to 1962 the head of state under the Constitution of 1961 was the queen of Tanganyika, Elizabeth II, who was also the queen of the United Kingdom and the other Commonwealth realms. The monarch was represented in Tanganyika by a governor-general...
 
Urais ni taasisi,jitahidini msome.Elimu Elimu,Elimu ni muhimu.
 
Angetangaza kufuta ama kupunguza tozo ikiwa ni pamoja na kutuondolea mawaziri wake wanaotukejeli sisi wananchi tungemshukuru sana.

Kuliko haya ya Malkia.
 
Wasamehe bure waliozaliwa juzi na kufungua macho wakamuona Diamond ndio mfalme wao.. Leo ndio kwanza wamesikia neno Tanganyika !
 
Watu kulalamika Kwa vitu visivyo na maana Sasa hayo maombolezo yanakuathili Nini?Kazini unakwenda,tozo zipo,kama mbususu unachakata,bill unalipa nk
Tunafanya dhihaka kwa mababu zetu ambao tulifundishwa kuwa mashujaa wetu kwa kumuombolezea muuaji wao .na kuivunjia heshima elimu yetu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…