Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa siku hizi bwana. Unalalamika sababu ya kutokujua kwako mambo ya kijiopolitiki. Unasahau huyu amewahi kuwa mkuu wa nchi hii enzi hizo ikiitwa Tanganyika, na pia amekuwa kiongozi wa jumuiya ya madola ambayo Tanzania ni mwanachama. Jifunzeni kutohemuka mnapokutana na jambo. Jipeni muda wa kutafakari kabla ya kubwabwaja. Isitoshe kutangazwa kwa siku hizo za maombolezo kumeathiri vipi maisha yako?Huyu atakuja kufanya hii nchi mwanamke asije tena kuongoza maisha yote.
...From 1961 to 1962 the head of state under the Constitution of 1961 was the queen of Tanganyika, Elizabeth II, who was also the queen of the United Kingdom and the other Commonwealth realms. The monarch was represented in Tanganyika by a governor-general...Sasa hii ni shobo!
Sisi Rais wetu Magufuli alipofariki Waingereza walitangaza siku ngapi za maombolezo?.
Sisi tumeshafiwa na viongozi wetu wakubwa tu akiwemo Benjamin Mkapa, Sokoine , hatujawahi kutangaza siku tano za maombolezo , Huyu Malkia kwetu ni nani haswa hadi tumpe siku zote hizo?
Huu ni utumwa wa Fikra!
Halafu hii serikali mbona inatoa taarifa kwa Umma usiku wa manane, imekuwa serikali ya kichawi
Kwani na wao wanazileta bure.......timing tu ,tunakula walivyotuibiaACHENI UNAFIKI mbona pesa yao mnaipenda?? Mbona misaada Yao mnapokea? Tena ipepee nusu mlingoti mwaka mzima.....
Hahaha ndio timing yenyewe sasaKwani na wao wanazileta bure.......timing tu ,tunakula walivyotuibia
Ukila na kipofu usimshike mkonoHahaha ndio timing yenyewe sasa
Magu ni nani uingereza?Hivi hao "wenzentu" Waingereza waliomboleza kifo cha Magufuli? Ikiwemo bendera za uingereza kupepepea nusu mlingoti nchini uingereza hata kwa nusu saa tu?
Ukiangalia comment za wengi humu jf ni kuwa hata historia ya nchi yetu hawajui,lakini utaona mtu ana comment.Alikuwa mkuu wa Tanganyika kwa mwaka mmoja na alisaini hati za uhuru.
Kwa mustakabali wa diplomasia ni jambo jema kufanya hili.
Haya tuungane.
Urais ni taasisi,jitahidini msome.Elimu Elimu,Elimu ni muhimu.Sasa hii ni shobo!
Sisi Rais wetu Magufuli alipofariki Waingereza walitangaza siku ngapi za maombolezo?.
Sisi tumeshafiwa na viongozi wetu wakubwa tu akiwemo Benjamin Mkapa, Sokoine , hatujawahi kutangaza siku tano za maombolezo , Huyu Malkia kwetu ni nani haswa hadi tumpe siku zote hizo?
Huu ni utumwa wa Fikra!
Halafu hii serikali mbona inatoa taarifa kwa Umma usiku wa manane, imekuwa serikali ya kichawi?
Wasamehe bure waliozaliwa juzi na kufungua macho wakamuona Diamond ndio mfalme wao.. Leo ndio kwanza wamesikia neno Tanganyika !...From 1961 to 1962 the head of state under the Constitution of 1961 was the queen of Tanganyika, Elizabeth II, who was also the queen of the United Kingdom and the other Commonwealth realms. The monarch was represented in Tanganyika by a governor-general...
Tunafanya dhihaka kwa mababu zetu ambao tulifundishwa kuwa mashujaa wetu kwa kumuombolezea muuaji wao .na kuivunjia heshima elimu yetu pia.Watu kulalamika Kwa vitu visivyo na maana Sasa hayo maombolezo yanakuathili Nini?Kazini unakwenda,tozo zipo,kama mbususu unachakata,bill unalipa nk
Hivi hao "wenzentu" Waingereza waliomboleza kifo cha Magufuli? Ikiwemo bendera za uingereza kupepepea nusu mlingoti nchini uingereza hata kwa nusu saa tu?
Tunawadai kwa uovu wao wa ukoloni na kuua mamilioni ya waafrica wasio na hatiaACHENI UNAFIKI mbona pesa yao mnaipenda?? Mbona misaada Yao mnapokea? Tena ipepee nusu mlingoti mwaka mzima.....
Huyu atakuja kufanya hii nchi mwanamke asije tena kuongoza maisha yote.
Tulivofiwa sisi wao walitangaza maombolezo?
Hata Sasa umefiwa.Malkia alikuwa mkuu wa jumuiya ya madola.Na yeye ndo alitoa uhuru kwa Tanzania.Tulivofiwa sisi wao walitangaza maombolezo?
Pia tuko wanachama wa Jumuia ya Madola ambayo mkuu wake ni Malkia au MfalmeAlikuwa mkuu wa Tanganyika kwa mwaka mmoja na alisaini hati za uhuru.
Kwa mustakabali wa diplomasia ni jambo jema kufanya hili.
Haya tuungane.