Rais Samia atangaza siku 5 za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth aliyekuwa Mkuu wa Nchi ya Tanganyika

Rais Samia atangaza siku 5 za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth aliyekuwa Mkuu wa Nchi ya Tanganyika

Uwe na heshima na adabu, jifunzeni historia ya nchi yetu mpate kuwa na ufahamu , usipoelewa mambo ni Kama gari lisilo na taa Wala brek halafu linatembea usiku, lazima lipate ajari tu, msiwe wajuwaji wa kila kitu wakati hamjuwi mambo mengi,matokeo yake mnaishia kwenye matusi
 
U

Ww ndo uwe na adabu kupalamia palamia watu....Hiyo historia kua unaijua ww peke ako.....ujuaji unao ww ....haya ww gari lenye taa tujuze......
 
Tulivofiwa na magufuli wao waliomboleza siku ngapi? Mwenye jibu anitag
Malkia alikuwa mkuu nchi zote za jumuiya ya modola pia alishwahi kuwa head state of Tanganyika,
Pia alishiriki kwa kiwango kikubwa kupata uhuru kwa amani
Pia majeshi yake yaliwahi kuzuia mapinduzi ndani ya nchi hii
Vilevile ukaid ni mmoja wa donor wakubwa was bajeti yenu ya kijungujiko isiyotosheleza tangu tumepata uhuru

So acha kumlinganisha malkia na Magufuli vitu viwili tofauti sana
Ana mchango mkubwa sana kwa nchi hii pia ni Global leader,
Tofauti na magufuli aliyekuwa kiongozi wa Tz tu
Muwe mnasoma historia ,sio kukurupuka
 
Upuuzi mtupu umeandika. Utumwa wa kifikra umekujaa. leo hii head of state wa Tz hana hadhi ya kupewa heshima ya maombolezo Uingereza lakini watumwa weusi mmekazania kutangaza maombolezo ya mwingereza, no wonder mnajionaga waarabu huku kwenu visiwani
 
hivi jamii forum ina watu wa ovyo kiasi hiki?yaani kutangaza siku za maombolezo mtu anaanza kusema eti mbona magufuli wao hawakuomboleza,mtu huyo anafikiri kwa kutumia nini?
Mbona kuna vitu hata havihitaji discussion kiasi hicho, mkuu wa jumuiya ya madola kafa alafu unahoji bendera kupepea nusu mlingoti,kwa nini usihoji kuhusu kujitoa kwenye umoja huo?watanzania watanzania uhuru unapitiliza
 
Na
Scholarship za Edinburgh University tulizoogelea kama njugu na sasa tunamalizia MABAKI YAKE

Julius hoyeeeee......

Elimu SAPLAI KIBAHA
na hapa nilikuwa nawaza hizo scholarship zitaendelea?maana hapa mwakani naziwazia alafu mtu anakuja kusema ujinga hapa
 
...From 1961 to 1962 the head of state under the Constitution of 1961 was the queen of Tanganyika, Elizabeth II, who was also the queen of the United Kingdom and the other Commonwealth realms. The monarch was represented in Tanganyika by a governor-general...
Hii ni Tanzania siyo Tanganyika
 
Hata Sasa umefiwa.Malkia alikuwa mkuu wa jumuiya ya madola.Na yeye ndo alitoa uhuru kwa Tanzania.
Jumuia ya Madola ni club kama vile club nyingine ambazo tumejiunga nazo, Jumuia ya madola siyo Sovereign over us.

Kama alitoa uhuru kwa Tanganyika ni sawa na Mwizi kurudisha koti aliloiba, haikufanyi uwanze kumtukuza Mwizi
 
Acha comment za kipumbavu kwenye jukwaa la Gt, dini ya watu inaingiaje hapa kwenye hi mada
 
Na wakizileta hatuzikatai nakuapia.

Basi ssrikali ikodishe usafiri kupeleka waombolezaji msibani wakasaidie kulia
Nashauri ndege zetu zitupeleke msibani UK, tukamlilie malkia Liz,
siku tano kukaa uzunguni tuapunguza machungu ya tozo,
Tukirudi watuache Bujumbura Burundi kwa kutii agizo la Nchemba Madilu,
 
Sasa hii ni shobo!

Sisi Rais wetu Magufuli alipofariki Waingereza walitangaza siku ngapi za maombolezo?.

Sisi tumeshafiwa na viongozi wetu wakubwa tu akiwemo Mzee Kawawa , hatujawahi kutangaza siku tano za maombolezo , Huyu Malkia kwetu ni nani haswa hadi tumpe siku zote hizo?

Huu ni utumwa wa Fikra!

Halafu hii serikali mbona inatoa taarifa kwa Umma usiku wa manane, imekuwa serikali ya kichawi?
Huyu malkia ndio alikuwa akimlisha babu yako akamlisha baba yako na sasa anakulisha wewe na wanao..
Huo ndio ukweli mchungu.
 
Yani hili ndio kaona jambo la msingi... Aisee!
 
Back
Top Bottom