Rais Samia atangaza siku 5 za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth aliyekuwa Mkuu wa Nchi ya Tanganyika

Rais Samia atangaza siku 5 za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth aliyekuwa Mkuu wa Nchi ya Tanganyika

Hata Sasa umefiwa.Malkia alikuwa mkuu wa jumuiya ya madola.Na yeye ndo alitoa uhuru kwa Tanzania.
Siwezi muomboleza kisa yeye ndio katoa uhuru we vipi mkuu, kwani sisi tuliwaita waje watutawale si uroho wao tu Kwa rasilimali zetu ndio uliwaleta.?.

Yaani unataka nione ye kutupa uhuru kama hisani??
Huyo ni baladhuli mkubwa hastahili kuombolezewa hata kidogo hasa na watu weusi.
 
Mipaka unayojivunia wewe waliweka wao,Jina la nchi unayojivunia wewe waliweka wao,elimu unayojivunia wewe waliweka wao,lugha unayojivunia wewe waliweka wao,Ikulu unayojivunia wewe waliweka wao,Utanzania unaojivunia wewe waliweka wao,pesa unazojivunia wewe waliweka wao,bunduki unazojivunia wewe waliweka wao,Rais unayejivunia wewe waliweka wao,sasa sijui kiburi hicho unakitoa wapi.
 
Walishusha benders siku ngapi za maombolezo nchini kwao???
Mimi sikwenda kwao wakati huo kwa hiyo si jukumu langu kufuatilia hayo bali ni wajibu wangu kumwombolezea mwasisi wa nchi yangu na Serikali ya Tanganyika.
 
Mipaka unayojivunia wewe waliweka wao,Jina la nchi unayojivunia wewe waliweka wao,elimu unayojivunia wewe waliweka wao,lugha unayojivunia wewe waliweka wao,Ikulu unayojivunia wewe waliweka wao,Utanzania unaojivunia wewe waliweka wao,pesa unazojivunia wewe waliweka wao,bunduki unazojivunia wewe waliweka wao,Rais unayejivunia wewe waliweka wao,sasa sijui kiburi hicho unakitoa wapi.
Nakuuliza tuliwatuma wafanye hivyo vitu?? Nani kawaleta huku kama sio ujangili wao?

Hakuna njia yoyote ya kumtetea mkoloni atabaki kuwa shetani tu daima.
 
Haya yatakuwa mawazo ya Zuhura Yunusi tu.
Waafrika ndio walewale

======

Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II kilichotokea tarehe 8 Septemba, 2022.

Maombolezo hayo yataanza tarehe 10 Septemba hadi tarehe 14 Septemba.

Katika kipindi hicho bendera za Tanzania zitapepea nusu mlingoti, ikiwa ni pamoja na kwenye balozi zetu.

View attachment 2351942
So pathetic!
 
Siku hizi hivi mnafundishwa ujinga shuleni!!
Mipaka unayojivunia wewe waliweka wao,Jina la nchi unayojivunia wewe waliweka wao,elimu unayojivunia wewe waliweka wao,lugha unayojivunia wewe waliweka wao,Ikulu unayojivunia wewe waliweka wao,Utanzania unaojivunia wewe waliweka wao,pesa unazojivunia wewe waliweka wao,bunduki unazojivunia wewe waliweka wao,Rais unayejivunia wewe waliweka wao,sasa sijui kiburi hicho unakitoa wapi.
Hivi kwwlir kabisa kijana msomi unaweza ukaandika ujinga kama huu humua JF home of great thinkers!!?
 
Siku 5 ni muafaka tukizingatia ukweli wa Kihistoria alikuwa ndiye mkuu wa nchi ya Tanganyika huru wa kwanza tena mwanamke. Tanganyika huru kama na utaratibu huu ungaliendelea kwa sasa tungekuwa na Malkia 11 kututawala.
Ikulu yake hapa Tanganyika ilikuwa wapi?
 
Mngejua beberu anachangia kiasi gani kwenye bajeti yenu ya madafu usingenyanyua mdomo kumhoji hangaya kwa nini katangaza kumwomboleza mkuu wa mabeberu kwa siku tano...
 
Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya Madola ambayo inaziunganisha nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza na nchi zilizokuwa makoloni yake.

Ni jambo la hekima kidiplomasia kuonyesha kama nchi mwanachama kuwa umeguswa na msiba huo wa kiongozi huyo mkuu wa Uingereza. Tanzania inapokea misaada mingi ya kifedha kutoka kwa nchi hii.

Kwa hiyo ni vyema kuwadhihirishia kuwa tupo pamoja nao katika kipindi wanapoomboleza kifo cha kiongozi mkuu wa taifa lao. Natambua si Tanzania tu ambayo itashusha bendera zake nusu mlingoti, bali mataifa yaliyo mengi ikiwemo nchi zote zilizo wanachama wa Jumuiya ya Madola.
Asante. Watu wengi hawajui haya mambo kwa hiyo wanakwazika. Wanalinganisha na misiba iliyotukuta
 
Back
Top Bottom