Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Siwezi muomboleza kisa yeye ndio katoa uhuru we vipi mkuu, kwani sisi tuliwaita waje watutawale si uroho wao tu Kwa rasilimali zetu ndio uliwaleta.?.Hata Sasa umefiwa.Malkia alikuwa mkuu wa jumuiya ya madola.Na yeye ndo alitoa uhuru kwa Tanzania.
Yaani unataka nione ye kutupa uhuru kama hisani??
Huyo ni baladhuli mkubwa hastahili kuombolezewa hata kidogo hasa na watu weusi.