Tetesi: Rais Samia atavunja Barara la Mawaziri, Biteko atakuwa Waziri Mkuu na Mpina atapewa uwaziri ila mambo yatakuwa ni yale yale

Tetesi: Rais Samia atavunja Barara la Mawaziri, Biteko atakuwa Waziri Mkuu na Mpina atapewa uwaziri ila mambo yatakuwa ni yale yale

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kwa mtazamo wangu kulingana na hali ya mambo na yanayoendelea Bungeni, hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.

Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.

In this country, it only needs to be an adult to predict what our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
 
Nimeona Samia ana tabia ya kumteua anayeonekana kuwasumbua mawaziri waliopo, akisema njoo nawe ufanye yale uliyokuwa ukiyasema bungeni, ajabu kwa Mpina hamgusi, sijui anaogopa kitu gani, au anasubiri nini.

- Labda Mpina anaweza kuteuliwa after 2025 election kama atafanikiwa kurudi bungeni, lakini kwa sasa sioni atateuliwa awekwe wapi, hasa nikiona anavyodili zaidi na mambo ya wizara ya fedha, ambapo "mtoto wa mama" kwa sasa anaonekana hagusiki.

Kuhusu Majaliwa kupumzika, hiyo inaweza kutokea after 2025, ambapo Samia ataamua kwenda na Biteko kama PM wake baada ya kumpa experience kwa cheo cha Naibu WM alichonacho sasa, ila sidhani kama itakuwa before 2025.
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.

Mwigulu na. Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Majaliwa kupumzishwa

In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
.
Kuna mbunge atapewa Ubalozi na Makonda atateuliwa ubunge, kisha ataenda Tamisemi na Mchengerwa Fedha, Dr Mwigullu Uchumi 😂
 
Nimeona Samia ana tabia ya kumteua anayeonekana kuwasumbua mawaziri waliopo, akisema njoo nawe ufanye yale uliyokuwa ukiyasema bungeni, ajabu kwa Mpina hamgusi, sijui anaogopa kitu gani.

Kuhusu Majaliwa kupumzika, hiyo inaweza kutokea after 2025, ambapo Samia ataamua kwenda na Biteko kama PM wake baada ya kumpa experience kwa cheo cha Naibu WM alichonacho sasa, ila sidhani kama itakuwa before 2025.
Hiyo aya ya kwanza inaonyesha kuwa wewe ni adult mwenye akilii timamu na unaeishi nchi hii.
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.

Mwigulu na. Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.

In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
.
Kuna hatari mwenezi akapewa ubunge wa upendeleo na kuinuliwa
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.

Mwigulu na. Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.

In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
.
Watajua wenyewe.
 
Mnaomuwaza Mwigulu na Mbarawa mnapoteza muda na kujipa uchungu bure!

Hawa watu ktk baraza Samia anawahitaji wao 'binafsi' si kingine.

Watu wa aina hii wanaohitajika binafsi na watawala huwepo almost ktk serikali zote duniani na huwa hawagusiki wala kupimwa utendaji wao.
 
Back
Top Bottom