Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kuna mbunge atapewa Ubalozi na Makonda atateuliwa ubunge, kisha ataenda Tamisemi na Mchengerwa Fedha, Dr Mwigullu Uchumi 😂Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na. Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Majaliwa kupumzishwa
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
.
Shujaa Magufuli: Rekodi ya Sumaye haitavunjwa!Majaliwa Lazima avunje Record ya Sumaye. kukaa miaka 14 kama waziri mkuu
Hiyo aya ya kwanza inaonyesha kuwa wewe ni adult mwenye akilii timamu na unaeishi nchi hii.Nimeona Samia ana tabia ya kumteua anayeonekana kuwasumbua mawaziri waliopo, akisema njoo nawe ufanye yale uliyokuwa ukiyasema bungeni, ajabu kwa Mpina hamgusi, sijui anaogopa kitu gani.
Kuhusu Majaliwa kupumzika, hiyo inaweza kutokea after 2025, ambapo Samia ataamua kwenda na Biteko kama PM wake baada ya kumpa experience kwa cheo cha Naibu WM alichonacho sasa, ila sidhani kama itakuwa before 2025.
Sitashangaa mtu mmoja mkubwa tunayemheshimu sana wananchi wakianza kumuita KIAZI.Kuna mbunge atapewa Ubalozi na Makonda atateuliwa ubunge, kisha ataenda Tamisemi na Mchengerwa Fedha, Dr Mwigullu Uchumi [emoji23]
Kuna hatari mwenezi akapewa ubunge wa upendeleo na kuinuliwaHiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na. Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
.
Watajua wenyewe.Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na. Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
.
Abunuasi countryHivi hii nchi inaitwake vile?