Ata Bi.Mkubwa anasukiwa zengwe za 2025 asirudi Ikulu.Huwa zikishavuja hivi hawafanyi tena.. Ila Katelefoni anatafutwa mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asavali[emoji419][emoji375][emoji1548]Ata Bi.Mkubwa anasukiwa zengwe za 2025 asirudi Ikulu.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Lukuvi aliondolewa baada ya kukataa kuwapa hati wale jamaa wa Yanga eneo la Kurasini , kumbe wao ndio walilipa maokoto ya kuwapa Raia na kujifanya wao ndio Wizara , kisanga kingine ni kukataa kumpa hati ya shamba mtoto wa kigogo huko morogoro
Natamani hili litokee wote muone unafiki wake... utashangaa anasifia bajeti, mikataba ya bandari n.k!! Hivi sijui wana shida gani wanasiasa wetu.Labda Mpina anaweza kuteuliwa
Nimeambiwa lazima mambo mengine yaendelee...kwa hiyo, masuala ya nchi inaendeshwaje kwa Sasa si hoja!!!we don't care how the country is being governed sisi tunasubiri nani apigwe chini ili nani aingie.
Hakuna jipya kwenye kuendesha nchi hii, unaweza kujua bila kuwa na uwezo wa kubadili chochote.Nimeambiwa lazima mambo mengine yaendelee...kwa hiyo, masuala ya nchi inaendeshwaje kwa Sasa si hoja!!!
Naliona hili pia.Kuna mbunge atapewa Ubalozi na Makonda atateuliwa ubunge, kisha ataenda Tamisemi na Mchengerwa Fedha, Dr Mwigullu Uchumi 😂
unahakika gani kama huyo samia atashinda uchaguzi ujaoNimeona Samia ana tabia ya kumteua anayeonekana kuwasumbua mawaziri waliopo, akisema njoo nawe ufanye yale uliyokuwa ukiyasema bungeni, ajabu kwa Mpina hamgusi, sijui anaogopa kitu gani, au anasubiri nini.
- Labda Mpina anaweza kuteuliwa after 2025 election kama atafanikiwa kurudi bungeni, lakini kwa sasa sioni atateuliwa awekwe wapi, hasa nikiona anavyodili zaidi na mambo ya wizara ya fedha, ambapo "mtoto wa mama" kwa sasa anaonekana hagusiki.
Kuhusu Majaliwa kupumzika, hiyo inaweza kutokea after 2025, ambapo Samia ataamua kwenda na Biteko kama PM wake baada ya kumpa experience kwa cheo cha Naibu WM alichonacho sasa, ila sidhani kama itakuwa before 2025.
First 11 si mchezo....! Unadhani "Ten Hang" wa ManU anapenda!?Hivi panga pangua,
Teua tengua
Vunja Jenga bado inaendelea?
Bado hawajapatikana wanao aminika?
Kama Rais ni huyu Mama hata wakienda kumuazima Xi Jinping awe PM bado watakwama tu.Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Sidhani!Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Sumaye alikaa miaka 10 sii 14.Majaliwa Lazima avunje Record ya Sumaye. kukaa miaka 14 kama waziri mkuu
Swala sio kuvunja Baraza hii Haina maana ni sawa na Kila siku kuhamisha wezi na kuleta wezi wapya.Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict what our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Watu kama kina Mwigulu ni Waziri mzuri tuu wa Fedha na Kwa kipindi chake maboresho mengi sana amefanya kama sheria za PPRA,Kuajiri maofisa zaidi wa TRA,CAG,Kuwapa Mafungi Internal Auditors na kubwa kabisa mapato yameongezeka karibu mara 2.Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict what our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Kwani ninyi mmekuwa Mungu? Mnafahamu ratiba za Mungu juu ya hii regime Kwa miaka 2 ijayo?Nimeona Samia ana tabia ya kumteua anayeonekana kuwasumbua mawaziri waliopo, akisema njoo nawe ufanye yale uliyokuwa ukiyasema bungeni, ajabu kwa Mpina hamgusi, sijui anaogopa kitu gani, au anasubiri nini.
- Labda Mpina anaweza kuteuliwa after 2025 election kama atafanikiwa kurudi bungeni, lakini kwa sasa sioni atateuliwa awekwe wapi, hasa nikiona anavyodili zaidi na mambo ya wizara ya fedha, ambapo "mtoto wa mama" kwa sasa anaonekana hagusiki.
Kuhusu Majaliwa kupumzika, hiyo inaweza kutokea after 2025, ambapo Samia ataamua kwenda na Biteko kama PM wake baada ya kumpa experience kwa cheo cha Naibu WM alichonacho sasa, ila sidhani kama itakuwa before 2025.
Adolf Mkenda labdaWatu kama kina Mwigulu ni Waziri mzuri tuu wa Fedha na Kwa kipindi chake maboresho mengi sana amefanya kama sheria za PPRA,Kuajiri maofisa zaidi wa TRA,CAG,Kuwapa Mafungi Internal Auditors na kubwa kabisa mapato yameongezeka karibu mara 2.
Ila Sasa nae huyu ana makando kando na kashfa nyingi kiasi hata kuendelea nae inakuwa kama shida Kwa Rais.
Kama Kuna tuhuma serious basi Bunge liunde kamati ya kumchunguza Ili kama hakuna kazi iendelee,binafsi nisingependa kumpoteza Kwa sababu Baadhi ya Wizara Huwa hazihitaji kubadili badili Mawaziri Kila siku.
Kila nikiangalia huko Kwa Wanaccm ni Waziri gani anaweza mudu pressyya Siasa na Wizara sijaona labda watoke Nje mfano kina Zito,Kafulira,Mchechu na Magufuru.
Hawa wanaweza suit nafasi ya Mwigulu Kwa sababu ni Wana Mageuzi kama yeye.Kama ana maslahi binafsi mh.Rais muondoe na uweke Waziri Mwingine miongoni mwa hao niliowataja au wengine unaowajua wewe ila kwenye cabinet na wabunge hapo sijaona mwingine.
Mpina labda awekwe kule Maliasili Ili tuone mambo atakayoyaleta.