Pre GE2025 Rais Samia atavunja Rekodi ya Jakaya Kikwete ya 2005 kwa kupata kura nyingi tangia kuanza kwa Mfumo wa vyama vingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili jitu huwa nawaambia halina akili japo lipo UWT pale
Tangia lini na wewe ukawa na akili? Umeelewa andiko langu na huyo unayefanana naye akili? Hoja yangu ni katika awamu ya kwanza na siyo ile awamu ya pili ambayo mtu anakuwa anatetea kiti chake. Uwe unaelewa hoja na siyo kukurupuka tu.ndio maana nasemaga wewe ni sifuri kabisa kichwani mwako
 
Wewe hujitambui na wala huna unachojuwa zaidi ya ukurupukaji wako tu.
 
nadhani hilo liko wazi na ni la uhakika sana,

Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi mkuu kwa kushindo sana na kuvunja record za ushindi wa watangulizi wake,

atawafedhehesha vibaya sana wapinzani dhaifu mno lakini vidomodomo kweli, hasa wanaume wanaolalamika tu bila kua na hoja za maana
 
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Vua chupi haraka akuweke nyuma. Jinga wewe. Huna akili kabisa hata kidogo. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Kwa hiyo watanganyika wameridhika kutawaliwa na raisi wa kuazima Toka nchi jirani

Sidhani kama hata ccm wenye akili wanakubaliana na huu upuuzi
 
Kwa hiyo watanganyika wameridhika kutawaliwa na raisi wa kuazima Toka nchi jirani

Sidhani kama hata ccm wenye akili wanakubaliana na huu upuuzi
Nchi gani jirani? Tanzania ni moja na watanzania ni wamoja na wote wanahaki ya kuomba Urais wa JMT
 
Na huyu ndiye mgombea wa CCM ambaye alikuwa anakubalika sana hapa nchini kuwahi kutokea tangia mfumo wa vyama vingi uanze katika awamu yake ya kwanza ya kuutafuta Urais.
Ni mgombea pekee aliyeitwa mhuni na Nyerere.

Ni mgombea pekee aliyejilimbikizia mali ili ashinde kwa kuhonga

Jitahidi uweke sifa zake zote hapa huyo mhuni
 
Ukweli ni kwamba uchaguzi ujao watu wengi hawatopiga kura na hii inatokana Mama yule akubaliki,Magufuli alikuwa na ki smart cha kupendwa na Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…