Pre GE2025 Rais Samia atavunja Rekodi ya Jakaya Kikwete ya 2005 kwa kupata kura nyingi tangia kuanza kwa Mfumo wa vyama vingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukweli ni kwamba uchaguzi ujao watu wengi hawatopiga kura na hii inatokana Mama yule akubaliki,Magufuli alikuwa na ki smart cha kupendwa na Wananchi.
Labda wewe ndiye hutapiga kura kwa ujinga wako ulionao.lakini mamillioni ya watanzania wana kiu kubwa sana yakujitokeza kumpigia kura Rais Samia kama sehemu ya kutoa shukurani kwa kazi kubwa aliyoifanya katika kuwaletea maendeleo watanzania.
 
Hii ni fact iliyopo huku mtaani 😁😁😁Mama hana nyota ya kupendwa labla na Wasanii.
 
Mmepanga kuiba ngapi?
 
CCM hupita kihalali kabisa.ndio sababu ya kutamalaki kwa utulivu na amani baada ya uchaguzi
Kuna maandalizi ya uchaguzi... Kuna kupiga kura... Kuna kuhesabu kura alafu funga kazi Kuna matokeo na matangazo ya mshindi!
Nape alishaweka kila kitu wazi!
 
Kuna maandalizi ya uchaguzi... Kuna kupiga kura... Kuna kuhesabu kura alafu funga kazi Kuna matokeo na matangazo ya mshindi!
Nape alishaweka kila kitu wazi!
CCM inashinda na kupita katika kila uchaguzi kutokana na kukubalika kwake kwa watanzania, kunakotokana na kuwa na sera nzuri zenye kugusa maisha ya watanzania
 
CCM inashinda na kupita katika kila uchaguzi kutokana na kukubalika kwake kwa watanzania, kunakotokana na kuwa na sera nzuri zenye kugusa maisha ya watanzania
Kuna utafiti ulionesha ni kweli unachokisema... Lakini ni miongoni mwa wajinga na wasiojitambua.
Na wewe unafanya vizuri kuthibisha Hilo!
 
Aturudishie tu bandari yetu kama alivyofanya kwa Masai tutampa kura zetu.. la sivyo tutakuwa tumebariki wizi wa mali zetu
 
Ni kweli atatangazwa mshindi kwa kura atakazo, maana Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Ni kweli atatangazwa mshindi kwa kura atakazo, maana Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Rais Samia ndio chaguo la mamilioni ya watanzania
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…