Pre GE2025 Rais Samia atavunja Rekodi ya Jakaya Kikwete ya 2005 kwa kupata kura nyingi tangia kuanza kwa Mfumo wa vyama vingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha uchawa kengele wewe
 
Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki (kwa namna mazingira yalivyo hilo haliwezekani kutokea!) asingeshinda.
Kwanza ni mwamnamke -mila, desturi zingemkataa!
Pili, hata uwezo wake ni mdogo mnoooo!
 
Siyo kupata kura nyingi sema KUIBA KURA NYINGI ili twende sawa na hoja yako.
 
bi chura
amevunja rekodi
ya ufisadi ya fisadi kiwete
2025 anawekwa pembeni
nchi hii haitaki mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…