MURUSI JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 4,537 Reaction score 8,824 Dec 17, 2022 #21 MamaSamia2025 said: Hakika Rais Samia ni rais msikivu anayeguswa na changamoto za wamachinga. Mungu ambariki. Click to expand... Baada ya kutengeneza tatizo na baadae kurudi kulitatua? Hizi mbinu za kingese sana za Ulaya Mashariki mwanzoni.mwa miaka ya 90
MamaSamia2025 said: Hakika Rais Samia ni rais msikivu anayeguswa na changamoto za wamachinga. Mungu ambariki. Click to expand... Baada ya kutengeneza tatizo na baadae kurudi kulitatua? Hizi mbinu za kingese sana za Ulaya Mashariki mwanzoni.mwa miaka ya 90
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Dec 17, 2022 #22 Ametengua akiwa wapi??
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,719 Dec 17, 2022 #23 ngoja nicheke yaani mara moja tu yashaanza kuimba pambio yameshahau yalivokuwa yanaishi kama digidigi.Tanzania,no wonder samia akapita kwa kishindo 2025
ngoja nicheke yaani mara moja tu yashaanza kuimba pambio yameshahau yalivokuwa yanaishi kama digidigi.Tanzania,no wonder samia akapita kwa kishindo 2025
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,760 Reaction score 20,837 Dec 17, 2022 #24 Wild sniper said: Ila mwigulu anakuwaje waziri lakini? Click to expand... Kupitia TRAT na TRAP😜