MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Baada ya kutengeneza tatizo na baadae kurudi kulitatua? Hizi mbinu za kingese sana za Ulaya Mashariki mwanzoni.mwa miaka ya 90Hakika Rais Samia ni rais msikivu anayeguswa na changamoto za wamachinga. Mungu ambariki.