Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Sasa inabidi Jumatatu au Jumanne akajitambulishe Musoma

"Kazi iendelee......"
 
Sasa anapelekwa ambako watu hawarembi! Hawana maneno mingi! AKAMAKINIKE! Mara sio Tabora!!!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:-
View attachment 1814796
Sina uhakika nahiyo sahihi ya jaffari hanimu kamaniyakwake au tunalishana matango pori humu hazifanani chunguzeni kwanza
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:-
View attachment 1814796
Du! Kama Magufuli vile! Chalamila alishindwa kutofautisha sanaa, siasa na kazi. Bado hata huyo Hapi hafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…