Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Yule jamaa Its either anavuta bangi,unga au pombe kupita kiasi au anajaribu kufanya utani lakini hauwezi utani, anapitiliza mnoo siyo mara ya kwanza kutoa kauli za ajabu
Kule mbeya kipindi cha uchaguzi alisema ana hamu na damu za wapinzani kama litre 8 hivi ana mpango wa kuzimwaga,,,he is terrible.
Mkuu Mbio za sakafuni huishia ......
 
Jamaa alihamasisha wananchi waende na mabango ya matusi mbele ya Rais, akili hana yule kosa angeanza kuzunguka kila kata kutatua kero za wananchi yeye ni kuzurura tu na kiuhalisia mwanza asingeiweza
 
post #63 ukiingia you tube pia utakuta hotuba nzima aliongea vizuri tu nahisi jamaa analazimishaga utani halafu hauwezi siyo mara ya kwanza kuongeaongea vitu vya kipuuzi
Ila hiyo siyo hapo naona alikuwa anafafanua kauli yake ngoja nitafute ile clip iko somewhere nitaituma hapa soon
Imajini kipindi cha Mwendazake...

Mkuu nisome
 
Back
Top Bottom