Ally Hapi ndo kwanza alikuwa anajitambulisha kwenye wilaya za mkoa wa Tabora. Jumatatu na jumanne alikuwa anajitambulisha wilaya ya Kaliua, jumatano na alhamisi alikuwa wilaya ya Urambo, ijumaa amehamishwa mkoa.
Sijui kama alishamaliza kujitambulisha Tabora. Kazi Iendelee.
Ally Hapi inabidi ajichunge sana huko Mara ama sivyo huko ndio utakuwa mwisho wake!!!