Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Tukikumbushe kauli ya Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo mwezi April 2021

RAISI SAMIA SULUHU " SITAKI KUONA MABANGO KWENYE ZIARA ZANGU ITAWAGHARIMU WAKUU WA MIKOA "



Woyoooooooo...
Mama NSSF....Mkuu Bagamoyo hili ndo bango langu
 
Rais alisema hataki mabango. Na hataki sikiliza shida za wananchi. Viongozi hasa ma RC na Madc wawasikilize wananchi. RC Yeye anahimiza mabango.
Na bado anawataka wananchi waje na mabango ya matusi. Hivyo anampinga Rais.
Anataka leta vurugu Rais apokelewe na mabango ya matusi!
Japo Rais wetu alisema anataka demokrasia. Demokrasia ni pamoja na wananchi kuwa huru. Kueleza hisia zao. Lakini hili la kuhamasisha matusi ni kinyume na sheria. Matusi nikosa la jinai.
Huyu alitaka mdhalilisha Rais. Ahojiwe! Alikuwa na lake jambo. Kuhimiza matusi! Daaaah
 
Aaisee kelele zina nguvu

Tuliwaambia msimpigie mama kelele anajua anafanya nini; give her time she will make us happy!!! Sasa ngojeni baada ya Bunge la bajeti mtaona moto mwingine utakavyowaka!!!

It was a very wise move to change Batilda from the RAS docket to RC where she is now well suited!
 
Chalamila alikuwa anahangaika mno. Juzi hapa nimemuona akiwataka wananchi wa Mwanza wajitokeze kwa wingi kwenye ziara ya rais atakayoifanya mkoani Mwanza na akawataka waje na mabango ya kutosha - hata kama ni ya matusi sawa tu. Huu ni wakati wa ku-lay low na kusoma upepo unavyokwenda. Haoni wenzake akina Hapi wako kimya wanahamishwa tu huku na huko utafikiri mpira wa kona?
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom