Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Yule jamaa Its either anavuta bangi, unga au pombe kupita kiasi au anajaribu kufanya utani lakini hauwezi utani, anapitiliza mnoo siyo mara ya kwanza kutoa kauli za ajabu.

Kule Mbeya kipindi cha uchaguzi alisema ana hamu na damu za wapinzani kama litre 8 hivi ana mpango wa kuzimwaga, he is terrible.
 
yes hiyo kauli ya kuua vibaka alishawahi kuitoa mbeya akasema kwamba baada ya kumuua alikunywa beers mbili kujipongeza, akairudia tena mwanza na jana kaseam hiyo ya wananchi ni ruhusa wabebe mabango yenye matusi wakati wa kumpokea Samia
Inapatikana wapi hiyo clip? Unaweza kutuwekea?
 
Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?
Kinachokuuma ni nini?
 
Mabango mabango na lugha au kauli za ubabe za mwendazake hazina nafasi ktk awamu ya sita. Kiongozi unatakiwa utumie kauli za kushawishi na siyo zitisho n.k.

Tujikumbushe jana RC Chalamila alisema nini :

9 Jun 2021
Mwanza, Tanzania

"MABANGO KWA RAIS SAMIA YAWE NA NIA NJEMA, NITAKULA NAO SAHANI MOJA"— RC CHALAMILA


Mkuu wa mkoa wa Mwanza wakati akizungumzia ujio wa Rais Samia Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu amegusia suala la Wananchi kujitokeza na mabango mbele ya Rais kuwa yawe na nia njema na wasingoje hadi ujio wa Rais kwani ofisi yake ipo wazi muda wote

Wateule waliokuwa wanakwenda ki - bulldozer inabidi waelewe nyakati zimebadilika .​

 
Back
Top Bottom