Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?
Doing it first doing it right ,ngosha
 
Kaanza na kiberiti [emoji23] ,dadeq walah jamaa wenge sana yule akanywe ulanzi sasa kwao huko
Alisema kabla ya kulala anagonga bia za kutosha kupata usingizi mzuri,kama kawaka inawezekana taarifa bado hana,pombe ikakata atakuta SMS za kumpa pole za kutosha
 
Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?
Naona mama anaenda mle mle mwa Mwendazake. Sasa naanza kumwelewa mama aliposema yeye na Mwendazake ni kitu kimoja: teua - tengua - piga chini !
 
Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?
Wanafanya,sasa maza anawapa fursa za kujirudi na kujisahhisha,usipochange basi you are gone
 
Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?
Chalamila ktk press kasema watu wampokee Rais hata kwa mabango ya matusi,duuuuh
 
Back
Top Bottom