Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora





Sio zama za kutisha watu kwenye camera hizi.

Mama nae anaanza kuwa sadist knowing namna gani Chalamila alivyokuwa anaogopa kutimuliwa.

Chalamila akiamka is worst nightmare will be confirmed; kitendawili chake kimejibiwa kufa kwa Magufuli ndio kufa kwake.
 
Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?
Unalazimisha ufanano sio..haupo huo ufanano.
 
Lkn kipindi Cha kampeni 2020 push up zilimshinda. Kuna siku alijaribu akapiga mbli.
Laigwan bado anadunda Kama mtoto wa skuli.
Aliringia kiburi cha uzima hali sisi ni wapangaji tu wa dunia hii
 
Kwa nini hatengui teuzi za SIRRO & DIWANI waliokuwa wakisimamia mauji na utekaji wa watz
 
Back
Top Bottom